Fuata njia hizi ili kuepukana na hali ya makwapa kutoa harufu

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Kikwapa ni tatizo la kutoa harufu mbaya sehemu ya kwapani katika mwili wa binadamu. Tatizo la kikwapa husababishwa na bakteria wanaovutiwa na jasho au unyevunyevu chini ya kwapa.

Tatizo la Kikwapa ni kero kwa sababu husababisha mtu kutoa harufu inayokuwa kero kwako na kwa mtu mwingine aliyeko jirani yako.

Ili kwapa lako liwe na harufu nzuri, kavu na safi fanya yafuatayo.


Paka kipande cha limao kwenye kwapa na kuacha lipate hewa safi ili kuua vijidudu na kutoa tezi za jasho kuondoa harufu mbaya

Vaa nguo safi zenye nyuzinyuzi za asili kama pamba, hariri na sufu zitasaidia kufyonza unyevu na kuliacha kwapa lako kavu, safi na bila harufu mbaya

Oga kila siku na safisha nguo kwa maji safi itasaidia kuua bakteria na ambao husababisha harufu mbaya

Kunywa maji mengi kila siku yatakusaidia kutoa sumu mwilini na hivyo kupunguza harufu mbaya ya kwapa.

Osha kwapa mara kwa mara kwa kutumia sabuni zenye dawa (medicated soaps)

Punguza kula chakula chenye viungo vingi hasa vitunguu

Kumbuka kutumia pafyume na Spray zitasaidia kuondoa harufu mbaya kwa muda na sio kutibu tatizo moja kwa moja.

Baada ya kuoga jifute kwa taulo au kitambaa safi na usiache unyevu unyevu ambao uwavutia bakteria kukua katika eneo ili.

Jitahidi kunyoa nywele za sehemu hii mara kwa mara.

Epuka kukaa sehemu zenye joto kupita kiasi kwa muda mrefu.
 
Wanawake wenye harufu Kali ya kwapa wanakuwa Na mbunye daraja la kwanza kwa ubora, ni wajibu wako kumfundisha kutumika malimao wakati wa kuoga ili kuondoa harufu mbaya Na wewe ufaidi asali
 
Ni matumaini yangu makubwa kwamba ' Team Vikwapa ' wamekusikia Mkuu na umewapa tiba.
 
Dawa bora kwa wanaonuka kikwapa ni nazi. Kama mtu anasumbuliwa na tatizo la kutoa jasho lenye harufu, ninamshauri atafune angalau kipande kimoja cha nazi (nusu nazi) kwa siku kila siku ya wiki ya kwanza na baada ya hapo anaweza akatafuna nazi moja kwa wiki... It helps very well. Mtu anayetumia tiba hii, anaweza akamaliza wiki bila kuoga na wala asinuke jasho...
Hili pia linawahusu wale ambao wananuka miguu hata kama wanafua soksi kila siku... This is the best medic I have ever experimented.
 
Wanawake wenye harufu Kali ya kwapa wanakuwa Na mbunye daraja la kwanza kwa ubora, ni wajibu wako kumfundisha kutumika malimao wakati wa kuoga ili kuondoa harufu mbaya Na wewe ufaidi asali
Kuondoa tatizo hili kwa mwanamke tumia bangi funga bangi kwenye jani la mgomba (kiasi cha kidole gumba cha mguu) weka kunako husika muda wa kulala asubuhi ukitoa inatoka na malenda na huo ndio mwisho wa kikwapa kwa mwanamke papuchi safi kwa raha zao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom