NDOA HIZI BWANA, WE ACHA TU

NDOA HIZI BWANA, WE ACHA TU

chambimagaka

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2017
Posts
288
Reaction score
338
Mwanaume Mmojaa alikuwa anamlazimisha mkewe kufanya mapenzi gizani kwa muda wa miaka kumi,ndipo siku moja mwanamke uzalendo ukamshinda na kuamua kuwasha taa ila ghafla alipigwa na bumbuwazi baada ya kuona kuwa kumbe mumewe ana uume wa bandia!


BMwanamke alihamaki na kumwambia mume wake haya naomba maelezo haraka kabla sijakinukisha kwa majirani na marafiki zako?


Mwanaume akajibu Mimi ndio naomba maelezo makubwa mno,nataka uniambie hawa watoto wetu watatu wamepatikana vipi?





USICHEKE INATAKIWA TUJIFUNZE KITU HAPO KUPITIA SIMULIZI HIYO
 
Yan jf imeingiliwa sio utani ya utumbo kma huu unauleta hapa, au huyajui majukwaa. Jiangalie na umri wako kwanza ndo uje huku, hil sio jukwaa la jokes.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom