Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Majuzi nimesafiri kwa kujiendesha mwenyewe toka mikoani hadi Dar. Kwa vile niliondoka huko Igunga mida ya saa tano hivi, kufika Dodoma tayari giza ilishaanza. Kilichonistua ni si tu wingi wa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamisi Kigwangalla amefunguka na kusema kuwa mabinti warembo na vijana wenye muonekano mzuri wanaweza kutumika katika kazi za ukarimu na kusaidia kuleta sifa...
5 Reactions
110 Replies
8K Views
Nimeona kwenye Habari za saa ITV...eti wakulima wamemsimamisha waziri kisa wadudu wa kawaida-funza wale wanakula mazao kule Iringa na Njombe wanaita MBENG'I ambao ukipiga dawa tu wanakufa,na ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama Uganda wamefanikiwa vifo vya uzazi kwa mwaka kinatokea kimoja naamini hata Tz tunaweza ikiwezekana hata kwa mwaka kisiwepo hata kimoja. Inakatisha tamaa.
1 Reactions
41 Replies
3K Views
Kwanza hongera sana TIGO kubuni matangazo mazuri yenye mvuto na midundo asillia. Lakini sasa mmeniletea kizazaa nyumbani kwangu tena kikubwa. Binti yangu wa mwaka mmoja akiliona tangazo lenu la...
12 Reactions
62 Replies
6K Views
Pamoja na kwamba Wilaya ya Rungwe ni miongoni mwa wilaya zenye mvua nyingi na vyanzo vingi vya maji lakini cha kushangaza baadhi ya mitaa wakina mama wanajitwisha ndoo kichwani, miaka ya nyuma...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana jamvi humu.siku kadhaa sasa zimepita tangu hawa watu wa reli ya umeme sgr wapite mtaani kwetu na kutuwekea alama ya kutakiwa nyumba zetu tubomowe kwa kuwa mradi wa huu wa train ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Rais wa Marekani Donald Trump baada ya kupimwa, imebainika kwamba hana matatizo yoyote kiakili na ni buheri wa afya. Uwezo wake wa kufikiria uko sawa pia, daktari wake ikulu ya White House...
0 Reactions
2 Replies
828 Views
Natumaini wanajamvi wenzangu wote ni wazima wa afya.Bila ya kupoteza muda turejee katika mada yetu iliopo hapo juu. Leo nlikutana na rafiki yangu nliepotezana nae kwa miaka mingi kutokana na...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari wanaJF, Nyumba ya Katibu wa UVCCM wa Mkoa wa Iringa Bwana Alpanga Muyinga imedaiwa kuchomwa moto usiku wa kuamkia leo. VIDEO: BOFYA HAPA
1 Reactions
73 Replies
10K Views
Tume kuchunguza kutupwa maiti za vichanga Mwananyamala Gedius Rwiza KUFUATIA vifo vya vichanga 10 vilivyokutwa vimefukiwa katika shimo jirani na Hospitali ya...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Gari pekee la maji ya kuzimia majanga ya Moto yanapotokea linalohudumia mkoa wa Manyara wenye wilaya tano. Jeshi la zimamoto na uokoaji mkoani Manyara katika mwaka 2017 limefanikiwa kukusanya...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
hallo wana jf, naomba kuuuliza sababu hasa inayopelekea mtu pindi aondokapo nyumbani kwa wazazi au walezi wake kutorudi nyuma tena, hii kitu nimeona mara nyingi kwa watu tofauti, awe na maisha...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Habari waungwana, Jamiiforums ina kila aina ya wachangia mada, wapo wanaopinga mada husika pia wapo wanaunga mkono mada maana imewafurahisha au kuwaelimisha. Kitu cha pekee ni uchangiaji wa mada...
0 Reactions
2 Replies
632 Views
Morogoro. Mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Morogoro zimesababisha vifo vya watu wawili katika wilaya ya Kilosa huku ikiacha zaidi ya kaya 1734 zikikosa makazi baada ya nyumba kubomoka. Pia...
3 Reactions
30 Replies
7K Views
SERIKALI imetoa masharti ili kuruhusu kuchukuliwa kwa sukari ya viwandani iliyokwama katika Bandari ya Dar es Salaam ili kuviwezesha viwanda vitano vilivyoagiza visifungwe kwa kukosa malighafi ...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wadau? Nahitaji msaada mkubwa sana juu ya suala hili la laini za uwakala. Nilijaribu kuuliza maswali kama mawili miezi ya nyuma kuhusiana na ujasiliamali but i gatta nothing. 1. Okay...
1 Reactions
11 Replies
13K Views
Waungwana, Mwenye kujua vituo ambavyo treni ya mwendokasi (SGR) Dar to Moro atujuze. Pia vituo vya Moro to Makutupora.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Picha ya Marehemu enzi za uhai wake Simanzi na majonzi vimetawala kwa Watanzania waishio nchi China baada ya kuondokewa na Mtanzania mwenzao ndugu HAMIS RUHABAYE. Hamis ambae alikuwa...
2 Reactions
43 Replies
7K Views
*UKWELI KUHUSU TANZANIA* 1.Tz ilipata uhuru mwaka 1961 ina miaka 54 tangu ipate uhuru ikiwa ni ya kwanza Afrika Mashariki. 2.Tz Kwa miaka 38 imeongozwa na CCM peke yake ambayo ni zao la TANU na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…