MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,713
- 7,928
Rais wa Marekani Donald Trump baada ya kupimwa, imebainika kwamba hana matatizo yoyote kiakili na ni buheri wa afya. Uwezo wake wa kufikiria uko sawa pia, daktari wake ikulu ya White House amesema. Alifanyishwa mtihani wa uwezo wake wa kiakili na wa kufikiria. Je, ukafanyishwa mtihani kama huo unaweza kupita?
Jibu maswali hapa chini:
Ni saa ngapi?
Alama (0) / (5)
(1) / (5)
Jibu maswali hapa chini:
Ni saa ngapi?
- Saa kumi na dakika 11
- Saa kumi na moja na dakika 10
- Saa 10 na dakika 10
- Saa 11 na dakika mbili
Alama (0) / (5)
(1) / (5)