Kwanza hongera sana TIGO kubuni matangazo mazuri yenye mvuto na midundo asillia. Lakini sasa mmeniletea kizazaa nyumbani kwangu tena kikubwa.
Binti yangu wa mwaka mmoja akiliona tangazo lenu la "nina mpango" kwa Runinga inakuwa ni hatari ....
Nina mpangoooo nina mpangoooo ----- nipe mpango...
yaani anadata kabisa; anashangilia kwa furaha kubwa haijalishi alikuwa kwenye mod gani; ngoma inasanuka pale tangazo linapokwisha inakuwa balaa; sebureni hapakaliki; atalia atalia ili tumwekee tena na mbaya zaidi anasusa kila kitu.
Sasa pamoja na pongezi kwenu najua mnapita pita humu basi niwekeeni hilo tangazo ni - download niwe namwekea hasa wakati wa kula maana ni mbishi hatari.
Natanguliza shukrani.