Sioni sababu ya kwanini nipongezwe siku ya kuzaliwa.
Kwani nimefanya nini kustahili pongezi? wazazi wangu na Mungu ndio walitenda muujiza. Nilizaliwa bila hata kujua, leo hii mnanipongeza kwa lipi? Sina control ya maisha yangu, yeye aliyenileta akiamua kesho sitafika wala hiyo siku sitaifika tena. why mnanipongeza?
Nimewaza sana nikaona nabadili utaratibu. Marafiki zangu msinipongeze siku yangu ya kuzaliwa. Nimejifunza wazazi wangu walifanya mengi mpaka hii leo naheshima, warembo wananitaka , washkaji wananizonga, majirani wananishukuru yote haya ni kwasababu wazazi wangu walikosa usingizi wao kunilea na kuwekeza kwangu. Nimetambua shida ya kusomesha na kulea baada ya mimi kujikuta nakosa usingizi kuwalea wanangu. Baba yangu alisucrifce mali zao kwangu, mashemeji na wakwe please mnisamehe pale ninaporudi kwetu kukaa na wazazi wangu na kuwaletea zawadi, wao wamenifanya mimi.
Kuanzia sasa sitakuwa na sherehe ya kuzaliwa, nimeamua mshahara wangu wa mwezi niliozaliwa niwape wazazi wangu. Tuwalee na kuwashukuru wazazi wetu. Hawa warembo hawakuhusika na lolote kwetu mpaka tumekuwa hivi ndipo wanajiliza kwetu hadi tunasahau wazazi. Marafiki zangu humu msinitakie siku ya kuzaliwa wala kuniletea zawadi. Zipelekeni hizo zawadi kwa wazazi wenu, kwa ndugu zenu.
Nangu mandokwa