Hivi ni kwanini filling station za Total Energy hasa Dodoma toka juzi vituo havitoi huduma kila kituo ninachoenda naambiwa mafuta hamna
Inakuaje vituo vyote viishiwe mafuta tangu juzI
Hizi ni...
Kuna maandiko yanasema: Basi njoo unilaanie watu hawa; maana wana nguvu kunishinda mimi. Labda nitaweza tupate kuwapiga, niwafukuze watoke katika nchi yangu, kwa maana najua ya kuwa yeye...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watu sita kwa tuhuma za mauaji ya Askari Polisi aitwaye Roland Mollel ambaye ni mkazi wa Arusha yaliyotokea Aprili 15, 2026 muda wa usiku.
Kwa mujibu...
Babangu mzee, Leo kaamka vibaya, maana anadai 10,000 aliyonunulia eneo pale msasani makangira Leo hii inatumika kununulia mafuta ya gari Lita 2.
Miaka 64 yrs ya Uhuru Taifa halina stock ya mafuta...
Baada ya kutokea kwa bomoabomoa ~ Wananchi wa Mbagala Rangitatu wadai kubomolewa makazi, vibanda vya biashara wakati kesi iko mahakamani Serikali imetoa ufafanuzi wa kilichotokea...
Mkuu wa...
Kesho kwa maana ya masaa machache yajayo
Kuna tetesi za wazi kwamba kesho ni kiama kingine cha ongezeko la bei kwenye mafuta
Mafuta Yaliyopanda bei ni yale yaliyokuwa nchini.. Ambayo kiuhqlisia...
Mimi sitaji kazi yako ila tu mwenyewe utajua. Kama kazi yako inaitwa KAZI KAMA KAZI zingine hapo jua muda wowote kitakuramba.
Kazi kama kazi zingine usipokwenda kazini siku 5 mfululizo lazima...
Aliyekuwa mtangazaji kutoka wasafi media babu Zembwela ameaga rasmi Leo kuondoka ndani ya kituo cha wasafi media. Zembwela ambae alikuwa akifanya kipindi cha Good morning pale wasafi Fm na hata...
Napenda kuwasilisha malalamiko rasmi kuhusu hali ya watoto wanaolelewa katika kituo cha watoto yatima kinachojulikana kama Shalom Center, kilichopo Kisongo, Arusha.
Kwa masikitiko makubwa, kuna...
Meet the offer you can’t refuse. Whether you need a blog, personal site, safari and tours site, booking site, project site, academic site, construction & engineering site, online shop or online...
Nikisema nielezee, maelezo yatakua mengi.
Ila swali ni moja, nyama ya punda inaliwa?
Kama inaliwa kuna athari gani nitapata mwilini.
Msaada tafadhali ili nichukue hatua.
Kusema akapumzika maana yake kazi ilikuwa ngumu sana ikamchosha hivyo ikamlazimu apumzike tena maandiko yanasema akastarehe kwa sasa tunaweza kusema akala Bata (BATA BATANI)
Mwanzo2:1-3.
Au...
Habari kaka ,mimi mzima wa afya ni miaka mingi hatujakutana uliondika mimi nikiwa mdogo sasa mimi nimekua mtu mzima week ijayo natarajia kuoa .
Nilisoma Kwa tabu sana lakini nilibahatika kumaliza...
Mahakama zinaogopwa sana hata kwa watu wenye haki , niliwahi kufungua kesi Mahakama ya kisutu , sikutegemea mashahidi niliowaamini wote walikimbia ☺️ kwa hofu ya jengo la mahakama ijapokuwa...
UFAFANUZI JUU YA TAARIFA YA MALALAMIKO ILIYOTOLEWA NA MTANDAO WA KIJAMII (JAMIIFORUMS) JUU YA KITUO CHA AFYA MBANDE
Tarehe 03/05/2026 JamiiForum imechapisha taarifa ya malalamiko kutoka kwa Mdau...
Program ya Google itaweza kuongeza Usalama zaidi kwa watumiaji wa simu za Android kuhusu location uliyopo.
Google chrome itaweka option mpya upande wa location kuruhusu Mtumiaji kuweza kuchagua...
Habar wakuu Leo saa nane nanusu mchana nlikua natuma uchafu kwenye shimo la choo nje ,nyuki wakawa wanatoka kwenye tundu kidgo kidogo kidogo mim nikadharau,kumbe walikua wanatoka wanakaa mgongoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.