Watu wengi wanaamini Illuminati ni ushetani lakini uhalisia wa illuminati haupo kama unavyo dhaniwa hili shirika lilikuwa na lengo zuri.
The issue ni our programmed mind we know and believe what...
Nasikitika sana kuwatangazia wasomi, na wasomi wanaokuja, ivi imagine era hii ya 2026, mtu anaenda kusoma software engineering, Bora anaesoma computer science anaweza kujikita kwenye hardware...
Watumiaji wa Samsung kwenye toleo jipya la Samsung one UI version 8.5 wametoa update mpya ya feature mbalimbali nzuri sana.
Feature mpya imekuja kuongeza ubora kwenye muonekano wa apps...
Natengeneza App ya AI ya kuchambua taarifa, kutoa ripoti na kutoa ushauri katika maswala ya fedha na uwekezaji., moja ya ya features zitakuwepo nahitaji App iwe inachambua maswala ya hisa za...
Ndugu wamiliki wa magari, pikipiki, na vyombo vyote vya moto, Utawala umewarudia tena, baada ya kuwapa ile tozo ya kuchangia dawa za kufubaza VVU na zingine nyingi kwenye mafuta, bado wanadhani...
Mkutano wa Kamati ya Pamoja ya Biashara (Joint Trade Committee – JTC) kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Zambia umeanza tarehe 4 Mei 2026 mjini Tunduma mkoani Songwe, kujadili...
"Zamani Mwanaume akioa tu basi akienda Kulala na huyo Mkewe wale Mashangazi wake huhakikisha wanatandika Shuka zilizo Nyeupe katika Kitanda watakacholala ili Asubuhi waone kama Mtoto wao Kaoa...
Wanadamu wote wametenda dhambi na wanastahili hukumu ya Mungu.
Katika Mwanzo 6:5-7 twasoma "BWANA akaona ya kuwa maovu ya mwanadamu ni makubwa duniani na kwamba kila kusudi analowaza moyoni mwake...
Katika ngazi zake ya Menejimenti LATRA asilimia 95 ni watu wa kutoka dini moja, hii sio bahati mbaya, hii imepangwa kabisa, Serikali kila siku inajipambanua katika usawa wa kidini, lakini LATRA...
Habari ndugu
Mimi ni kijana mwenye malengo ya kujifunza ufundi wa simu sasa naomba ushauri kipi nianze kati ya kuanza kujifunza kwa fundi wa mtaani kisha niend veta au niende veta af nirudi kwa...
Sarafu za shilingi 50, 100, na 200 zimeonekana kuwa nadra mikononi kwa sababu kuu mbili:
· Kuhifadhiwa na Wananchi: Watu wamezichomekea nyumbani, kwenye vibubu au magari, kwa sababu ya thamani...
Mkoa wa Tanga unechanganya tamaduni za kizunguna kiarabu ambazo zimeathiri architec ya majengi yake
Waarabu walikaa sana mwambao wa Tanga kuanzia Pangani mpaka Tanga mjini,huko kote waliacha...
Anakuwa hajiamiini katika kila hatua zake dhidi yako, hata akiwa na nia njema juu yako anajihisi kama atakosea masharti unashangaa mtu anabadirika ghafla.
Akikuona wikii hii umemchekea sana...
Ukiona watu waliokuzidi kimaisha, mafanikio au mamlaka wanakuchukia bila sababu jua una kitu kikubwa.
Watu wengi waliobeba vitu vikubwa au ukuu ndani yao huo wanachukiwa inawezekana wakati huo...
Sio kwa ubaya lakini hii inayoitwa kazi ya kuendesha boda ni mojawapo ya kazi kama uhalifu tu, asilimia 90 ya hawa wapuuzi ni wezi, wanyanganyi au vibaka baadhi kweli ni wastaarabu ila wengi ni...
Mwanzo 32:26
Akasema, Niache, niende, maana kunapambazuka. Akasema, Sikuachi, usiponibariki.
Faida ya kuomba ya saa 9 usiku mpaka saa 11 Asubuhi.
Muda wa saa 9 usiku mpaka saa 11 asubuhi ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.