Nyama ya punda inaliwa?

Nyama ya punda inaliwa?

Nilienda Mpwapwa kuna kijiji kinaitwa Berege nkakuta wanauza mnadani na bei yake kwa kilo ilikuwa rahisi kuliko nyama ya Ng'ombe..Mimi binafsi nimeona kwa macho mtu anakula kenge,mwingine chatu,kuna watu walikula chui na hawakudhurika..
 
Sidhani kama kuna mnyama mwenye madhara kwa binadamu akiliwa zaidi ya wale wenye sumu tu.

Ila wengine woote wanaliwa labda ladha ikusumbue.

Sanasana mila na dini zetu ndo zinazuia ila sio nature ya miili yetu.
 
Nilienda Mpwapwa kuna kijiji kinaitwa Berege nkakuta wanauza mnadani na bei yake kwa kilo ilikuwa rahisi kuliko nyama ya Ng'ombe..Mimi binafsi nimeona kwa macho mtu anakula kenge,mwingine chatu,kuna watu walikula chui na hawakudhurika..
Me ndo mara ya kwanza kula, tena kwa bahati mbaya ndio maana nikawa na wasiwasi.
 
Inaliwa vizuri tu tatizo Radha, kule mbeya njia ya kwenda chunya wanakula sana nyama ya punda na hawadhuriki kwani wameshazoea
 
Nikisema nielezee, maelezo yatakua mengi.
Ila swali ni moja, nyama ya punda inaliwa?

Kama inaliwa kuna athari gani nitapata mwilini.

Msaada tafadhali ili nichukue hatua.
Utakula mshedede?
20250906_001343.jpg
 
Back
Top Bottom