Ni hii ya dogo aliyeuawa kikatili na kukutwa mtoni akiwa hana kichwa. Isikie tu maana si kawaida.
Mimi hadi hapa nimewahi sikia ni kijijini kwetu Kaya kama 6 kutoka kwetu bibi alikatwa katwa...
Habari za wakati huu watanzania wenzangu.
Kuna makala niliweka humu juu ya uandaji wa mbolea ya samadi ya maji kwa ajili ya matumizi ya bustani na shamba kiujumla. Kulingana na watu walionitafuta...
Tujikumbushe, projects kadhaa ambazo Mchungaji Dkt. Kimaro amezifanya akiwa Mchungaji Kiongozi, KKKT Usharika wa Kijitonyama,
1. School of Healing (Morning & Evening Glory) -Youtube Channel...
Kama hauna ulazima wa kujipost status usifanye ivyo .
Ficha Maendeleo yako ,Tabasamu lako linawaumiza watu wengi.
Watangazie shida tu usioneshe mafanikio hadharani Dunia imebadilika
Orderly...
Kuna ajali nimeipita hapa Matumbi wanapoweka camera askari hapo. Kuna gari zimegongana 2.
Sasa inavyoonekana wa gari dogo alijichomela kwenye blind sport ya gari kubwa akajua anaonekana...
Jana mtandao wa Yas iliweza kuzindua app yake yenye mabadiliko makubwa sana ndani yake hii ni ya kikubwa zaidi kwa mwaka 2026.
Ni app inayorahisisha Matumizi ya simu kidigitali kwa urahisi kwa...
Kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana wa kizazi cha 2000 (Gen Z) kuelekeza nguvu, muda, na rasilimali zao katika starehe na teknolojia; ikiwemo mitandao ya kijamii, gaming, mavazi, kamali(kubeti)...
Kutoka Kijiwe cha Ubungo, David Julius analalamikia wingi wa michango katika shule za serikali, hali inayosababisha ugumu wa Maisha na kutofautiana na uhalisia wa kipato cha Wananchi.
Naomba tupazie sauti hapa ni kigamboni barabara inaunganisha eneo la kona ya chuo na Mwasonga hilo daraja haliishi maji yakijaa hapo watoto hawaendi shule wiki ya 3 sasa, mnataka watoto wetu...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Yustino John Mgonja ameieleza Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara namna mfanyabiashara wa...
Wapenda Iphone na bidhaa nyingine za Apple tujikumbushe tu kuwa Apple hawajawahi kuwa na wakala wala Store Tanzania toka kuumbwa kwa ulimwengu huu hivyo ukiona duka lolote Nchini wewe nunua at...
Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora limemkamata Gadiel Lameck Mtema (45) raia wa Burundi kwa tuhuma za kujifanya msaidizi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kitengo cha maombi ya ufadhili na udhamini na...
Dar es Salaam- Mei 5, 2026: Mkurugenzi Mkuu wa Shule ya Serikali Kenya (KSG), Prof. Nura Mohamed na ujumbe wake wametembelea Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania leo, Mei 5, 2026, jijini Dar es...
Kesho baba EWURA tunakuomba utuvushe sisi wauza mafuta kuanzia vituo vya mafuta mpaka wauza vidumu
Tunakuomba upige kwenye mshono kwa pigo takatifu hii itasaidia kupanda kwa bei za usafiri na...
LATRA Jiji la Dar es salaam inasemekana ipo likizo.
HALIMA LUTAVI ambaye ni kaimu mkurugenzi usafiri wa barabara , sijui kama yupo ofisini ama likizo ya masomo, kwakuwa DALADALA zinakatisha ruti...
Mt 12:35 SUV
[35] Mtu mwema katika akiba njema hutoa mema; na mtu mbaya katika akiba mbaya hutoa mabaya.
Kile unatumia muda mwingi kukisikiliza, kukisoma, kukiangalia, ndicho kinaenda kujaza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.