Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Roho mbaya ikizeeka haikauki. Anaweza tu kukuona umewazidi maendeleo watoto wake haina budi kukuelekeza shimoni.
9 Reactions
40 Replies
443 Views
Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Ivory Coast na klabu ya Chelsea, Didier Drogba amewasili Bungeni Jijini Dodoma akiwa ni miongoni mwa wageni watakaoshuhudia uwasilishwaji wa makadirio ya...
5 Reactions
66 Replies
2K Views
Anonymous
"Kwa baraza la watalamu waalamu wa radiografia (MPIRC) tunaomba ufafanuzi juu ya ucheleweshaji wa utoaji wa leseni za awamu ya pili kwa mwaka huu wa 2026. Tulio wengi tumekamilisha taratibu zote...
1 Reactions
1 Replies
143 Views
Sio kila muda unapswa ku-post vitu, hata akijsikia kuoga ana post. Either jamaa yuko disturbed au stressed. Dude has been posting shxxt vigorously
4 Reactions
6 Replies
160 Views
Najua huu uzi utawakera wengi (hasa wale wasiojua kufikiri vizuri na mtanichukia hata kunitukana), ila najua wale vipanga (Geniuses) watanielewa. Sasa imekuwa ni Kero yaani kila Mwili tu...
4 Reactions
41 Replies
617 Views
Anonymous
Wananchi wanaoishi na kufanya shughuli zao kuanzia Ubungo hadi Kimara wanakabiliwa na changamoto kubwa kila siku wanapojaribu kuvuka Barabara ya Morogoro, hasa nyakati za asubuhi na jioni...
2 Reactions
8 Replies
221 Views
Ok, what is really special mfano hadi ichezewe afya ya akili kama mtoto mdogo. Je ni makebo yake makubwa?, namna anavyokwea mnazi? Rangi yake utafikiri anaoga na maziwa? what is really special...
1 Reactions
1 Replies
105 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda wamewapokea walimu...
0 Reactions
0 Replies
142 Views
Unakuta mtu ikifika tarehe 25 na hajaona salario imecheza kwenye balance moyo unaanza kwenda mbio lakini haka kajamaa utakuta kijijini kameacha watoto wawili kwa wadada wawili tofauti na hapa...
10 Reactions
27 Replies
321 Views
Wengi tumezoea Status zikikaa ndani ya muda wa saa 24 zinapotea kwenye Mtandao wa Whatsapp sio 👋. Whatsapp kuleta feature inaitwa Archive Status, inayokupa uwezo wa kuhifadhi zile status ambazo...
1 Reactions
1 Replies
123 Views
Anonymous
Madereva wa bajaji wamekuwa chanzo cha malalamiko kwa abiria kutokana na ukosefu wa utaratibu unaoeleweka katika utoaji wa huduma. Mara nyingi, abiria hulazimika kubishana na madereva kuhusu...
0 Reactions
0 Replies
122 Views
KADIRI UNAVYOENDA JUU, UNAVYOKUA/FANIKIWA PUNGUZA CIRCLE YAKO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Shahidi. 1. Usijesema sijakuambia na hili pia. Ni muhimu Sana kwako. Lengo ni ili uishi kwa...
7 Reactions
10 Replies
281 Views
Kituo kitapokea watoto wote wasiokuwa na baba au wasioshi na baba zao kutokana na migogoro ya kifamilia tumepqnga kutatua changamoto ya kimalezi ili kunusuru maadili ya taifa ili kwa kuwapatia...
2 Reactions
21 Replies
439 Views
Ndugu zetu waislamu mnaweza kutuambia kuwa hilo ni Tamko la Allah moja kwa moja kwamba wanawake wavae hijabu ya kufunika kilakitu au pengine ni hekimu ama maoni ya mtume Muhammad S.a.w pekee? Je...
5 Reactions
83 Replies
863 Views
Dunia haiheshimu walioanza mbio kisha kuishia njiani bali inawaheshimu waliomaliza wakiwa na matope magotini. Kujikwaa sio laana bali nembo ya mashujaa kwamba ulikuwa uwanjani, hukubaki benchi...
3 Reactions
4 Replies
143 Views
Mei 04, 2026: Imefunguliwa kesi ya Jinai Namba CC. 9474/2026 katika Mahakama ya Wilaya ya Mlele mbele ya Mhe. Kibona. F, Jamhuri dhidi ya RABIEL ROBERT KAAYA, askari wa Jeshi la Polisi mwenye...
0 Reactions
6 Replies
238 Views
Sote tuseme Trakbirii✨ Miujiza ya Nabii Issa (a.s) Nabii Issa (a.s) alipewa miujiza mikubwa kwa idhini ya Allah ili kuwathibitishia watu wake ukweli wa ujumbe wake: Miongoni mwa miujiza yake ni...
2 Reactions
4 Replies
155 Views
Moja ya kitu ambacho kilinifurahisha mwaka huu ni pale serikali ya ghana kutaka reparations kutokana biashara ya utumwa ilioathiri nchi yake, lakini huyo huyo ghana anadhani watu hawajui kuwa...
0 Reactions
1 Replies
80 Views
Mwenyekiti wa Kamati ya Vijana Uchumi Challenge iliyo chini ya Wizara ya Maendeleo ya Vijana, Joseph Brighton Malecela, ametangaza kusogezwa mbele kwa tarehe ya mwisho ya kuwasilisha wazo la...
1 Reactions
0 Replies
151 Views
Hizi redio zenye maudhui ya vijana zinashindana sana.Zimetengeneza nyimbo za utambulisho wa redio zao kiboko kwelikweli. Clouds wimbo wao ni nyoosha njia na Bongo FM wimbo wao ni hakuna mipaka...
3 Reactions
9 Replies
263 Views
Back
Top Bottom