Ni tafakari tu ya maisha na Tabia zetu watanzania. Turudi nyuma kidogo nyakati zile za Nyerere, na Mwinyi. Maana yangu kuwa kuna tofauti kubwa katika mfumo wa maisha. Japo zama hizo hakukuwa na...
Najiuliza hili swali baada ya aliyekuwa Mbunge kuomba msaada wa rais ili asaidiwe matibabu. Na kweli rais alituma gari la wagonjwa na kumsafirisha moja kwa moja kwenda Muhimbili. Ni wabunge hawa...
Rita kuna uonevu unaendelea wakubwa wanatumia nafasi zao kuambia watu kuwa hati za kuzaliwa za bibi zao na mama zao ni feki na kuomba rushwa ya mpaka milioni kutengenezewa hati nyingine ambayo...
Mitandao mingi siku hizi hapa nchini imekosa mijadala ambayo ni hot na inayoleta msisimuko wa mjadala ikilinganisha na zamani wakati wengi walikuwa wanaongea uhalisia na kutokana na utashi wao...
SHERIA : Raia wa Lithuania, Kristina Biskaveskaja (kushoto) anayetuhumiwa kwa usafirishaji wa dawa ya kulevya aina ya heroine zenye uzito wa gramu 3775.26 zikiwa na thamani ya Sh169.8 milioni...
Unamtetea mnyonge mmoja kwa kumsababishia mnyonge mwingine mshtuko wa moyo!.
Vipi kama huyu aliyepatwa na mshtuko wa moyo akipoteza maisha?, hao wanyonge wengine wanaomtegemea, nani atawapatia...
BREAKING: Sheria Mpya Uchimbaji wa Madini ya 'TANZANITE' - Mh Biteko via YouTube
Ila tazameni yule mwandishi wa habari kule nyuma?! Anasinzia, anapiga mihayo, anarembuwa macho, kalegea kama...
Mamlaka ya kupambana na dawa za kulevya nchini India, imemkamata Mtanzania Brayton Lyimo katika uwanja wa ndege wa Indira Gandhi (IGI) akisafirisha kilogramu 4.8 za heroin zenye thamani sawa na...
Napenda kutoa malalamiko yangu kuhusu hiki kituo kama ifuatavyo:-
1. Hamna daktari nesi ndo daktari.
2. Hakuna confidentiality maana huyo nesi(dokta) kakaa na vijana wawili ambao sifahamu kama...
Mimi kama muumini wa kanisa katoliki ningependa kutoa maoni yafuatayo kuhusu kanisa la St. Peters Oysterbay ukilinganisha na lile la Katoliki Mwananyamala (haya ndiyo ninauzoefu nayo)katika...
Maganda 25 ya risasi za bunduki aina ya Sub Machine Gun (SMG), jana yalipokelewa mahakamani kama kielelezo cha kesi ya mauaji ya kukususia ya mfanyabiashara tajiri Erasto Msuya.
Shahidi wa 24 wa...
HIFADHI YA JAMII KWA WOTE
Mamlaka ya Usimamizi wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inaendesha zoezi maalumu la kuhakikisha Wanachama...
Asubuhi pale Kimara terminal huwa kuna hali mbaya ya msongamano wa abiria kuanzia kwenye kukata tickets hadi ndani kwenye kupanda ni kama vita vile abiria wanvyosukumana kupanda magari.
Sasa leo...
Kwa nchi kama yetu Muda huu najua wengi tuko bize na Google katika ku drive apps kama Instagram facebook WhatsApp na ubize mwingi kwenye smartphone, tujue tunapoteza muda sana kuongeza wigo wa...
Mgeni rasmi atakuwa mh Anthony Mavunde ambaye ni Naibu Waziri wa kazi ambapo maDJ wataomba shughuli zao zitambuliwe rasmi na serikali na kuheshimiwa. Pia wataomba kuanzia sasa Djs wawe wanapewa...
Nimekuwa nikifuatilia sana nikaona maajabu ya duni!!mtumishi Wa umma akifukuzwa au kupewa adhabu yoyote ile kuna watu wanakuwa na maswali pengine na gadhabu kuwa kwa nini mtumishi huyu...
Mhariri wa gazeti la Dira ya Mtanznia, Musa Mukama na mwandishi wake William Kapawaga, na meneja wa gazeti hilo Abiudi Mangera, wamekamatwa na Polisi muda huu na wanapelekwa Kanda Maalum ya...
Nimetembelea 'site' mbalimbali na kuona namna maadili ya utu na hata taratibu za kuandika habari zikikiukwa, hasa kuhusu haki na thamani ya watoto wadogo.
Tangu jana habari ya kukamatwa na...