Sometime Nakumbuka kulee tulipotoka,vile tulivyokuwa tunacheza pamoja, Vile tulivyokuwa tunasoma na mambo mengine mengi tuliyokuwa tunafanya pamoja,
sikuwahi kuwaza labda ipo siku tunaweza...
Nipo hapa maskani na wana CCM, Asiee wanamkubali sana jamaa kuanzia kile kipaji chake cha kugundua madiwani wa CHADEMA wanaounga mkono juhudi za hali ya juu za Mheshimiwa Rais hadi ile kauli yake...
Habari
Kwa wale waandishi wa barua si ajabu mshakutana na huu msamiati wa bahasha(karatasi) za A4, A5 n.k
Naomba elimu hapa kwa nini karatasi(bahasha) ziitwe A4, A5 n.k maana naskia mpaka A10
Popote ulipo, mdogo wako D the great nakukumbuka.
Ulinifundisha mengi, ikiwemo jinsi ya kutongoza, kuzungumza na mwanamke na hata jinsi ya kumkumbatia msichana.
Nashukuru sijasahau darasa lako...
Amani ya bwana iwe nanyi
Poleni na mihangaiko ya maisha ,ningependa niende moja kwa moja kwenye mada husika .Nilikuwa naitaj kuijua zaid hii taasis/kampuni ya vortex kw yoyote mweny kuijua maana...
Wanajamvi kila siku tunasikia watu wakandia ndege za ATCL kuwa ni Pangaboi na lugha nyingi za kejeli. Je tofauti za hizi pangaboi za ATCL na Pangaboi za precision hatuzisemi..Je tunkandia tu huu...
Wakati wewe unapanga kutoka kigoma ili uhamie Dar es salaam kuna mtu na yeye anapanga kuishi Kigoma, wakati wewe Unapanga kuacha biashara ya Daladala mwenzako anapanga usiku na mchana kuanza...
Mtu akitaka kupika maharage lazima ayachambue. Wakati wa kuchambua yale yanayoonekana kwa macho ni mabovu hutupwa na yale yanayoonekana mazima hupikwa na kuliwa.
Lakini cha kushangaza, hayo...
Kwa hii nauli ya Uber ya 1000/- kwa trip fupi fupi kuna kila dalili Bajaj na Bodaboda zitakosa wateja.
Umbali ambao Uber wanachaji 1000/- bajaj wanatoza 2000-3000/-. Kwa mtaji huu inaweza kuwa...
Timu ya watalaamu wa mifugo kutoka Bodi ya nyama Tanzania wamefanya operesheni ya kustukiza katika mabucha yanayouza nyama na mabaa yenye majiko yakuchoma nyama na kubaini baadhi ya nyama...
WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kwa kushirikiana na madaktari bingwa chuoni hapo, wameanzisha tovuti maalum kusambaza uelewa wa masuala ya afya miongoni...
Leo ni siku ya redio duniani,siku ambayo huadhimishwa kila tarehe 13 february kila mwaka.
Redio zimekuwa na mchango mkubwa kwenye kuelimisha,kuhabarisha na pia kuburudisha.Toka zama na zama watu...
Ameyasema leo asubuhi kwenye mahojiano ya kipindi cha Power Breakfast kinachorushwa live na clouds TV. Amesema kitendo cha kupigwa Lissu risasi ni tukio baya kabisa kuwahi kutokea kwa mbunge...
Ndugu zangu watanzania,
Nimesikia watu wengi sana wakimpuuza Mkuu wa Mkoa kwa maamuzi yake aliyotoa dhidi ya kufuta mabaraza ya kata lakini ukifikiri zaidi utagundua kuwa amefanya jambo jema...
Habari ndugu Watanzania.
Nimetafakari kwa kina kuhusu tukio la bwana Msukuma (Mb) kuagiza mkuu wa shule kushushwa cheo na kupangiwa vipindi vya kufundisha baada ya kuzuia Magufuli Club kufanya...
UJENZI wa ukuta kuzunguka Mgodi wa Tanzanite Merereni, mkoani Manyara wenye mzunguko wa kilomita 24.5 unaratajiwa kukamilika mwishoni mwa Aprili, mwaka huu.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa...
Wakuu kuna kadi ya bima ya Afya ya Abeid M. Shikamweri imeokotwa ndani ya basi la mwendokasi linalofanya safari zake kati ya Kimara na Mbezi.
Inaelekea muhusika alikuwa ametoka kwenye matibabu...
Mh, kama anaweza vunja Mabaraza ya kata, ambayo yapo kisheria, kesho nawaapia atatangaza kuvunja Magistrates court. Ngoja imhukumu "mpendwa wa mkojo" na bangi kuwa na hatia! mtaona. Mkuu wa...
Nafurahi kwamba Rais John Magufuli amekuwa akieleza ugumu wa kuwa kiongozi wa nchi, tena yenye watu wengi masikini wanaofikia milioni 50. Idadi hii siyo ndogo, hapa nazungumzia midomo milioni 50...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.