Ujenzi :Gharama za Fundi Ujenzi

Ujenzi :Gharama za Fundi Ujenzi

Mwatulole

Member
Joined
Oct 16, 2017
Posts
55
Reaction score
194
Habarini za jioni wana forum naomba kujua gharama halisi za Fundi wa nyumba kuanzia hatua ya msingi mpaka boma na kuezeka nyumba itakayo tumia tofali kuanzia 1500 mpaka 2000 nyumba ya vyumba vitatu vya kulala, sebule, dinning room nk.
 
Kuezeka nyumba yenye floor ya uoana wa mita 15 na urefu wa mita 16 ikoje
 
Habarini za jioni wana forum naomba kujua gharama halisi za Fundi wa nyumba kuanzia hatua ya msingi mpaka boma na kuezeka nyumba itakayo tumia tofali kuanzia 1500 mpaka 2000 nyumba ya vyumba vitatu vya kulala, sebule, dinning room nk.
Uko WAP wewe
Na unataraji kujenga full chini mpaka juuu bila kusimamaa?hii itasaidia kutoa gharama halisi kwa FUNDI,any way MAFUNDI wazuri tunao sisi na ni wachapakazi haswaa
 
Nipo Mwanza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom