Karibu katika wiki tatu za kutafakari hatma ya maisha yetu. ..

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,701
Wiki moja sasa imepita.
Umewahi kujiuliza ni nini hatma ya maisha haya hata baada ya kupata kila unachotaka?

Karibu katika tafakuri juu ya maisha yetu katika mkutano mkubwa unaoendeshwa jijini Mbeya na mchungaj GEOFFREY Mbwana wa kanisan la SDA pia ni makamu wa rais

Unaweza kufuatilia kupitia
1:morning star TV (ving'amuzi vya ting na continental )
2:morning star radio (105.30fm kwa wakazi wa dsm)
3:YouTube livestream /maisha hatimaye Mbeya 2018.
4:vitu of mbalimbali nchini ktk ma kanisa ya sda na mitaani .
5:kuinstall app (nitaiupdate jina lake) kwenye San ukumbuke (smartphone ) yako na kufuatilia livemail popote ulipotea.

Muda:kuanzia saa kumi na mbili utapata mafundisho ya UJASIRIAMALI kisha saa moja Hadi saa mbili kamil I usiku utapata neno kuhusu hatma ya maisha yetu.
Pia kutakuwa na clinic ya ndoa kwa ikiendeshwa na mbobezi wa atatuma hiyo kutoka MarekanI lkn ni mtanzania.
 
Wiki moja sasa imepita.
Umewahi kujiuliza ni nini hatma ya maisha haya hata baada ya kupata kila unachotaka?

Karibu katika tafakuri juu ya maisha yetu katika mkutano mkubwa unaoendeshwa jijini Mbeya na mchungaj GEOFFREY Bwana wa kanisan la SDA pia ni makamu wa rais

Unaweza kufuatilia kupitia
1:morning star TV (ving'amuzi vya ting na continental )
2:morning star radio (105.30fm kwa wakazi wa dsm)
3:YouTube livestream /maisha hatimaye Mbeya 2018.
4:vitu of mbalimbali nchini ktk ma kanisa ya sda na mitaani .
5:kuinstall app (nitaiupdate jina lake) kwenye San ukumbuke (smartphone ) yako na kufuatilia livemail popote ulipotea.

Muda:kuanzia saa kumi na mbili utapata mafundisho ya UJASIRIAMALI kisha saa moja Hadi saa mbili kamil I usiku utapata neno kuhusu hatma ya maisha yetu.
Pia kutakuwa na clinic ya ndoa kwa ikiendeshwa na mbobezi wa atatuma hiyo kutoka MarekanI lkn ni mtanzania.

Unaposema Bwana wa kanisa la SDA unamaanisha nini?
 
Back
Top Bottom