Kuna upumbavu unatupeleka katika upumbavu na tutaishia katika upumbavu mkubwa zaidi. ..mwaka 1961 tulipata uhuru lakini uhuru huu haukukamilika na bado haujakalimika, kwa sababu hawa maadui wawili UJINGA na UMASKINI unatumika kuirudisha nchi hii utumwani, tunahitaji ukombozi kwa mara ya pili. Kwa sababu ya UJINGA watanzania wengi sana hawajui kama wapo utumwani.