Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Waziri wa Utalii na Maliasili Dr. Hamisi Kigwangalla leo Februari 19, 2018 amefika katika msiba wa Mwanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji cha Taifa NIT Akwilini Akwiline ambaye alifariki baada ya...
2 Reactions
61 Replies
8K Views
Hodi humu ndani!..... Mwenzenu nimetafakari sana juu ya hali ya hewa nchini, na matukio yooote ambayo yametokea nyakati hizi. Binafsi kama Wapinzani wamehisi kuonewa kwenye uchaguzi na ushahidi...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Ni muda sasa tunaona chama chetu kikuu cha upinzani cdm kikijitahidi kuikosoa serikali juu ya vifoo mbalimbali vinavyotokea vyenye utata kwa kuihusisha serikali na vifo hivyo lakini hatuoni majibu...
0 Reactions
5 Replies
968 Views
Habari za jumapili wanajamvi! Niende moja kwa moja kwenye mada ambayo ni kilio changu kwa serikali na wadau wote wa tamaduni, michezo, dini na malezi(wazazi/walezi) Hichi kilio changu ni juu ya...
6 Reactions
40 Replies
4K Views
nashauri iwe free kuuza msosi popote kwenye jumuiya ya Africa mashariki. mtu awe anapeleka mahindi Kenya au Rwanda au Sudani kusini kama vile anavyotoa Mbeya kwenda dodoma au Dar. kusiwe na...
1 Reactions
5 Replies
845 Views
Angalieni vijana wengi sikuhiz hawaachi nywele maana janga tuliloahidiwa limewafika.
1 Reactions
53 Replies
11K Views
Ni chief Songea mbano wa songea baada ya kuona ndugu zake wamenyongwa na Wajerumani aliwalazimisha wamuue na yeye ili awafuate wenzake.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kama ni Kweli yanayotokea huko DUNIANI, yaani tumeamua -kupiga -Kutesa -Kunyanyasa -Kufanya hila -Kuua Kwa hakika hatutafuti uongozi wa kuletea watu maendeleo, bali ukwasi na umaarufu. Huo...
1 Reactions
0 Replies
741 Views
Niambieni wataalam wa mambo ya sosholojia,huku usukumani,watu waliosifika kwa ujambazi ndio walikuwa wakipewa madaraka ya kuongoza sungu sungu. Na walikuwa wanaogopwa sana,hata hivyo watu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Tulivyokuwa tunavuka kwa miaka mingi sana daraja la mto Kilombero kutoka mji wa Ifakara kwenda Mahenge na Ulanga. Daraja la sasa baada ya ujenzi kukamilika lenye urefu wa mita 387 na njia...
8 Reactions
81 Replies
8K Views
Naomba kuuliza mitandao ya simu hawa watu wanatoa wapi namba zetu? Mana imekuwa mtindo wao kujitangaza kwa mtindo huu kujifanya wamekosea kutuma ujumbe, Mtakuwa mna 10% zenu kwenye haya matangazo...
2 Reactions
62 Replies
16K Views
Mpaka sasa nina taarifa za 'Ngamia wawili waliopenya kwenye tundu la sindano'. Wa kwanza ni kondakta wa dala dala alilofia marehemu Akwilina. Yule kondakta risasi 'imempuliza' na kumkwangua...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Habar wanajamvi, Mkoani mwanza katika wilaya ya Nyamaghana kumekuwa na wimbi la uhalifu sugu tokea mwaka jana mwezi wa 12.Kwa uchache tu kuna kijana alichinjwa maeneo ya Nyegezi stand muda wa...
4 Reactions
13 Replies
3K Views
Familia mbili za wanandoa Baraka Malali na Ashura Mussa waliokamatwa nchini China Januari 19,2018 wakiwa na mtoto wao mwenye umri wa miaka miwili zimekubaliana mtoto atunzwe na babu yake Hashim...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wadau. Nimekua na wazo la mda mrefu nikadhani huwenda Vodacom watakua wanawaza the same ila naona bado. Simu zetu zimekua ndio Bank zetu za karibu, pamoja na huduma za kipesa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Utajuaje risasi iliyotumika kuulia ksma imetoka wapi?je risasi zina naomba ?
0 Reactions
3 Replies
761 Views
Habari za wikiendi! Watu wengi huwa wanaamini tajiri ni jimwanamke linalohonga mapesa wavulana wadogo au kizee babu chenye pesa kinacho panda wasichana mpaka kinywe supu ya mkia.Ama kijana anae...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wajameni. Kubeti ni shughuli nzito. Ni kazi yenye kuvunja moyo lakini ukishazoea unakuja ujasiri wa ajabu wa kukabili mshituko wowote katika maisha. Kazi hii ukishaizoea, hata upigwe na radi ni...
16 Reactions
115 Replies
16K Views
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) TAARIFA KWA UMMA Viongozi wa chama, wakiwemo wakuu na waandamizi, wanatarajiwa kuongoza shughuli ya utoaji wa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Mtu anayejiita nabii nchini Kenya mwenye wake 39, ajitangaza kuwa yeye ndiye "Yohana Mbatizaji" Nabii huyo anayetokea katika kijiji cha Nandolia nchini Kenya amesema kuwa Yeye ndiye Yohana...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Back
Top Bottom