Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katika maandamano yaliyoitishwa na wanaChadema siku ya mwisho ya kampeni zao ambapo walikuwa wakienda kwa Mkurugenzi wa wilaya ya Kinondoni kwenda kushinikiza kutolewa kwa viapo vya mawakala wao...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mapenzi ya jinsia moja umeanza muda mrefu sana tangu karne ya 8. Bahati nzuri kipindi hiki hakukuwa na media kama sasa. Ni kipindi ambacho biashara ya utumwa ilishamiri sana. Wanaume ndio...
27 Reactions
441 Replies
65K Views
Ndivyo maandiko yasemavyo....." angalieni ndege wa angani hawalimi wala hawavuni lakini Baba wa mbinguni huwalisha, je ninyi si zaidi kuliko hao?....basi msijisumbue eti mle nini au mvae...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
walimu waanza kuhama kwenda shule za msingi vp huko wilayani kwako tayari na vp posho wanatoa??? walimu hawana amani kabisa sababu ni walisha zoea maxingira secondary leo wanaenda msingi Walimu...
0 Reactions
5 Replies
851 Views
Ukweli hakuna kitu kinachonikwaza na kunikera kama barua za kizungu mnazoniandikia kuhusu masuala ya biashara . Si kwamba wote tumesoma na isitoshe hiyo si lugha ya Taifa . Yaani napata adha kubwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni mawazo yangu tu,ikiwa tutakua wote wamoja,tutumie Vizuri taaluma za watanzania toka vyama vyote kwa manufaa ya nchi ili kuiondoa nchi hapa ilipo sasa Tupo nyuma sana km nchi,hivyo ni budi tuwe...
0 Reactions
1 Replies
548 Views
Ni kwamba katika enzi za ukoloni suala la kuwaona watu wenye asili ya Afrika wakiwa wamembeba Mwarabu, au Mzungu lilikuwa ni suala lisilohaba hasa maeneo ya pwani. Vitendo hivyo vilifanywa hasa...
1 Reactions
11 Replies
9K Views
Majina ya Watanzania Waliofungwa Nje ya nchi Baada ya Kukamatwa na Madawa ya Kulevya 12:19 4 [disqus] Majina 403 ya Watanzania waliokamatwa, kufungwa au kushikiliwa katika magereza mbalimbali...
1 Reactions
20 Replies
6K Views
Na Masanja Mabula -Pemba BAKAR Khamis (25) mkaazi wa Mitondooni Wilaya ya Wete, anadaiwa kumnajisi (kumlawiti) mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka minne huko Shehia ya Piki Wilaya hiyo...
2 Reactions
31 Replies
7K Views
Leo nimesikitika kuona wadada vigori wakisimamishwa barabarani huku wamebeba mabango ya matangazo ya kampuni ya AIRTEL, yaani wanasimamishwa tangia mchana jua kali mpaka jioni.., wana kula moshi...
0 Reactions
99 Replies
13K Views
Kama nilivoeleza hapo juu, mimi ni kijana mtafutaji kwa sasa niko hapa mjini Dar, sasa kule kijijini kwetu wanyonge wanaonewa kweli wapendwa. Mama yangu mzazi anashamba lake kalima pamba...
8 Reactions
151 Replies
16K Views
Naandika kwa kukerwa sana na watu wasiojitambua wenye wajibu wa kuhakikisha wanaweka manispaa katika hali ya usafi kutotimiza wajibu wao. Wengi tunafahamu kuwa kilimanjaro ni mkoa unaoongoza kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Duka la kuuza Matairi ya Pikipiki pamoja na vipuri la kampuni ya Saba General Enterprise Limited lililopo jirani na kituo cha jeshi la Zimamoto na uokoaji mkoani Morogoro limeteketea kwa moto huku...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu Amlamke?{mmeamkaje?} Nina imani ni wazima wa afya ila kwa wenye matatizo poleni sana. Leo ningeomba tujuzane maana halisi ya jina la mkoa utokao na hata wilaya ikiwezekana ili tusiojua...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Kero ya maji Mza imekuwa kawaida sasa, Yaani tuko karibu na ziwa inakuwa tabu hivyo je tungekuwa kishapu? Idara husika haijasema chocho ila maji hakuna, Au wamechoka kutupa ngonjera zile zile za...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
MOLA AKULAZE PEMA. kwanza naanza na pole,nawapoza majirani. Kisha nije vile vile,kuwauza ikhwani.. Yarabi toba salale,ilikuaje wandani? Mola amlaze pema,peponi palipo wema! Pili nasonga...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Salam! Sisi kuna mambo yametushinda na huo ndo ukweli: Sisi tumeshindwa kuboresha elimu. Hivyo usitarijie kuwa na demokrasia ya kweli ,mpaka sasa wapo wanaoamini demokrasia ni kufanya siasa...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Hello wana JF, Mie naona kila kijiji kupewa million 50 kwa ajili ya maendeleo na serikali was not realistic na serikali iko embarassed by it..... Sasa tutafute ideas za project ambazo kila...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Napenda kutoa masikitiko yangu kwa kile kinacho tokea Nyegezi Mwanza. Jamani Nyegezi siyo salama tena, kuna mauaji yanayo endelea Nyegezi kila kukicha sasa hivi Nyegezi ina nuka mauaji. Mauwaji...
2 Reactions
58 Replies
8K Views
Mbunge wa Kibamba, John Mnyika (Chadema), amesema wamebaini kusudio la kubambikiwa kesi ya kusababisha kifo cha mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Aquilina Akwilini, anayedaiwa...
2 Reactions
35 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…