Duka la matairi Morogoro, lateketea kwa moto

Duka la matairi Morogoro, lateketea kwa moto

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,618
Reaction score
9,610
Duka la kuuza Matairi ya Pikipiki pamoja na vipuri la kampuni ya Saba General Enterprise Limited lililopo jirani na kituo cha jeshi la Zimamoto na uokoaji mkoani Morogoro limeteketea kwa moto huku jeshi la zimamoto likitumia zaidi ya saa tano kuzima moto huo

ITV
 
Kuna Shida mahala si bure, hawa si ndo Waliunguliwa na Ghala lao juzi tu hapa Vingunguti???
 
Kuna Shida mahala si bure, hawa si ndo Waliunguliwa na Ghala lao juzi tu hapa Vingunguti???

Basi kuna nguvu za giza kwenye hiyo biashara, vinginevyo wanacheza na bima hebu tuconnect dots
  1. waliunguliwa ghala vinginguti
  2. zimamoto wapo mita chache toka kwao wameshindwa kuzima moto na vifaa vyote wanavyo
 
Back
Top Bottom