Kero ya maji Mwanza imekuwa kawaida sasa

Indungu

Senior Member
Joined
Nov 1, 2013
Posts
172
Reaction score
37
Kero ya maji Mza imekuwa kawaida sasa,
Yaani tuko karibu na ziwa inakuwa tabu hivyo je tungekuwa kishapu?
Idara husika haijasema chocho ila maji hakuna,
Au wamechoka kutupa ngonjera zile zile za kusema, tunafanya matengenezo ya pump kama kawaida yao??
 
Tunashangaa sana tupo kwenye neema ya ziwa Victoria lakini tunataabika na kiu ya maji wakati Misri wanafaidi zaidi maji yatokayo kwenye chanzo cha ziwa victoria
 
Hawako serious nchi hii watu wanafanya kazi kwa mazoea
 
Mara mnasema Mwanza jiji linalokua kwa kasi..... linakua bila hata maji ya kuchambia ? Hamieni Dar.
 
Tunashangaa sana tupo kwenye neema ya ziwa Victoria lakini tunataabika na kiu ya maji wakati Misri wanafaidi zaidi maji yatokayo kwenye chanzo cha ziwa victoria
Mkuu ziwa liko karibu lakini maji mabombani hakuna,
Utadhani tuko sehemu kame? na hii imekuwa kawaida sasa na hawasemi chochote
 
Mara mnasema Mwanza jiji linalokua kwa kasi..... linakua bila hata maji ya kuchambia ? Hamieni Dar.
Mkuu kwani huko dar maji yanapatikana kirahisi japo mko karibu na bahari?
Maji nchi hii ni kizungumkuti japo tuna maziwa bahari lakini hatujawahi kupata huduma hats kwa %30
 
Kwami mbunge wenu ni wa chama gani,maana majimbo yote yaliyochini ya ccm hakuna taabu ya maji
 
KAMA NI KWELI BASI HII NI AIBU YA TAIFA.ZIWA KUBWA KIASI KILE HALAFU LIKO UBAVUNI MWA JIJI LA MWANZA INAKUWAJE LINAKOSA MAJI???
HUU NI UZEMBE WA HALI YA JUU.TUKATAE KUWA KAA
 
Mkuu kwani huko dar maji yanapatikana kirahisi japo mko karibu na bahari?
Maji nchi hii ni kizungumkuti japo tuna maziwa bahari lakini hatujawahi kupata huduma hats kwa %30
Kaka. Dar siku hizi twaoga mara tatu. Kuna miradi mikuu 2 Ustaadh Magembe aliisimamia mpaka tatizo la maji limekua historia
 
Back
Top Bottom