Salam!
Sisi kuna mambo yametushinda na huo ndo ukweli:
Sisi tumeshindwa kuboresha elimu. Hivyo usitarijie kuwa na demokrasia ya kweli ,mpaka sasa wapo wanaoamini demokrasia ni kufanya siasa huru,na wapo wanaoamini siasa ni kazi na uwajibikaji.
Kwa elimu hafifu huwezi kupata watu jasiri,wabunifu,nk
Pili, tumeshindwa kugawanya sawa, kiwango cha maendeleo kulingana na mtawanyiko wa nchi, huwezi amini songea na Kigoma hawapo kwenye gridi ya taifa,wakati sumbawanga wakitumia umeme kutoka nje ya nchi.
Tatu, Tumeshindwa kujua ni nini kinahitajika katika ili kudhibiti malaria.
Nadhani hata wewe mwana jf ,unayomambo unadhani tumeshindwa,tafadhali tushirikishe!!!