Dstv mnawatesa vijana wenu wa mauzo

Dstv mnawatesa vijana wenu wa mauzo

JEKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
4,845
Reaction score
2,967
Dstv wameibuka na mtindo wa kutembea na madishi mtaani kuuza.

Jana nikakutana na mdada kachoka kaweka lile liungo chini akiliangalia tu, kuweni na huruma, mdada kutembea siku nzima kabeba liungo si kazi nyepesi,

Hivi kweli katika mbinu zote za kimasoko hii ndo mmeona ndo mbinu ya maana, mmeishiwa kiasi hiki??
 
Tatizo lao bei zao na kipato chetu haviendani kabisa! Siku Azam wanapata haki EPL biashara ya dstv kwaheri

Hii kitu me naona sijui hata kama kitakuja kutokea maana jamaa si wame renew mkataba juzi tu hapa, Embu ngoja tuone muda utaongea.
 
Dstv wameibuka na mtindo wa kutembea na madishi mtaani kuuza. Jana nikakutana na mdada kachoka kaweka lile liungo chini akiliangalia tu, kuweni na huruma, mdada kutembea siku nzima kabeba liungo si kazi nyepesi, hivi kweli katika mbinu zote za kimasoko hii ndo mmeona ndo mbinu ya maana, mmeishiwa kiasi hiki??
uliza sasa mshahara/commission wanazopata utalia .....serikali inasema wawekezaji
 
Mimi hao niliishaachana nao. Be zao ni ghali. Wapunguze gharama zao zilingane na Azam.
 
Dstv wameibuka na mtindo wa kutembea na madishi mtaani kuuza.

Jana nikakutana na mdada kachoka kaweka lile liungo chini akiliangalia tu, kuweni na huruma, mdada kutembea siku nzima kabeba liungo si kazi nyepesi,

Hivi kweli katika mbinu zote za kimasoko hii ndo mmeona ndo mbinu ya maana, mmeishiwa kiasi hiki??
Sasa watafanya nini wakati shule yao ndogo?
 
Back
Top Bottom