Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,814
Kuna jamaa mmoja alikuja hapa anaumwa mpaka anatamani kufa.
Nikasoma comments nyingi zilizojaa mizaha kwa watu wasio na uelewa na shida inayomsibu mwenzetu.
Ili kuwa na personal interaction and to solve his problem in a personalized way nikamwambia aje inbox.
Kweli alikuja nikamuhudumia na ni matumaini yangu anaendelea vyema.
Sasa nilikuwa tu nampa mrejesho mod aliye hide ile comment yangu kuwa, mgojwa alishakuja na msaada nishampatia.
The rest is just a history.
A guy will never be the same again.