Maisha ni kivuli cha fikra zilizo kichwani

Saguda47

JF-Expert Member
May 1, 2016
10,771
18,633
Wakuu salama?
Katika maisha kuna misukumo na changamoto nyingi sana ambazo hutuandama sisi wanadamu, ni kawaida sana kwenye jamii zetu ukaonyeshwa mtu aliyechoka kiafya kwa ulevi wa kupindukia na kuambiwa kuwa '..huyo alikuwa tajiri sana..' Pia unaweza kuonyeshwa mtu mwenye gari Kali, nyumba safi na biashara kubwa ukaambiwa kuwa"..huyo alikuwa kibarua ama mchoma mahindi.."

That's how life is, yawezekana Leo uko na mawazo juu ya umaskini wako, pia yawezekana Leo wewe ni tajiri na unajigamba na kujiona mwanaume rijali zaidi ya wengine, haya yote yamejijenga kutokana na msimamo ama maono ya mhusika, fikra zikiumba mahangaiko rohoni basi umaskini na ufukara hutamalaki,

Lazima tujue kuwa na kadri ya mambo yetu, la sivyo tunaweza kutumbukia kwenye ulevi usio kiasi kutokana na kukata tamaa,

Badili fikra kulingana na changamoto zako, fight, succeed, and maintain it!! No one was born to serve the riches, but a state of minds!!

Inspirational premises
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom