Haya ya Tunduru yana prove tuna watawala wachoyo na wabinafsi wenye roho mbaya

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
1,891
2,000
nimeangalia tv jana na kuona mkuu wa wilaya ya tunduru akijisifu visima vya maji vinavyochimbwa kwa gharama ya milioni 37( visima sio kisima) sio chini ya kumi.
Tena wananchi wanavisubiri kwa hamu wapunguze kutembea umbali mrefu kutafuta maji
Aisee ,nikatafakari pesa wanazochezea kina mnyeti na kamati yake ya manunuzi wa madiwani na ubunge plus ile kamati ya kuwatisha wanaokataa kuhama nikasikitika sana
Bado tena gharama za ma- uchaguzi useless yasiyo na sababu yanayoambatana na mauaji na kutia watu vilema*nikifikiria mabouncer wanaomlinda bashite plus ile motorcade yake kubwa kuliko ya waziri mkuu walahi nasikitika sana*nikifikiria milioni 700 ya kuvunjajengo la tanesco..lololololo
Pelekeni maji vijijini huko,visima vyenyewe bei rahisi kuchimba,mnakazana kununua madiwani na kujidanganya manapendwa ilihali hali halisi mnaijua
HAKIKA MMEJALIWA ROHO MBAYAWANDUGU,UTADHANI HAMKUZALIWA NA KUKULIA KWENYE UMASKINI
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom