IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,033
Leo niliitikia wito kutoka kwa mwalimu mkuu...nimepewa taharifa mwanangu( mtoto wa Dada angu) hatofanya mtihani kwa sababu hakufanya mtihani wa darasa la7,mfumo wa usajiri wa Necta unatambua majina ya waliopitia std7..
Ni kweli dogo alirukishwa darasa wajuvi wa mambo nisaidieni nafanyaje?
Ni kweli dogo alirukishwa darasa wajuvi wa mambo nisaidieni nafanyaje?