Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Bahati mbaya sina namba ya Abdul Nondo ningempigia na kumpa huu ujumbe. Wenye mawasiliano nae tafadhali mfikishie ujumbe huu. Mwenye mawasiliano nae tafadhali mfikishie wazo hili. Ukweli ni...
80 Reactions
157 Replies
15K Views
Nataka kusafiri kwenda Songea siku chache zijazo.Niliwahi kusafiri Songea miaka ya 2009-10 enzi hizo Ottawa High Class ipo kwenye chat na tulikuwa twatumia njia ya makambako. Sasa hivi nasikia...
0 Reactions
0 Replies
856 Views
Inakuwaje kijana mdogo tena barchelor eti unatazama taarifa ya habari ? Acheni mambo ya kizee bana .Kuangalia taarifa ya habari ni mambo ya kizee bana.Matter fact unaangalia taarifa ya habari...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Napata shida sana na dhana ya watu kwamba Rais Magufuli kabana. Kabla hujalalamika kwanza jifanyie tathmini wewe mwenyewe bila ushabiki kwamba ni wapi Rais amekubana wewe katika shughuli zako...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
Basi la Kampuni ya BEST LINE lililokuwa likitokea Mbeya kuelekea Mwanza limepata ajali ya kupinduka asubuhi ya leo Machi 28, 2018 katika Kijiji cha Ilongo kilichopo mkoani Mbeya. Kamanda wa...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Mimi nauliza hili la wakata tiketi wa vituo vya mwendo kasi na chenji kamili wana maana gani katika uchunguzi wangu nimegundua ni almost vituo vyote vya mabasi ya mwendo kasi wanabakisha chenji...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
ONGOZA watu kwa kuwanyanyua ,, jiepushe na swala la kuwa "" Mimi ndiyo boss na nimesema "" Saidia watu wengine kujua mambo , kesho watasaidia na wao wengine pia, aidha wakiwemo wanao ..... Kuwa...
0 Reactions
1 Replies
724 Views
I am searching for civil society organizations in Tanzania which work or do research in the field of peace and security, this could also include think tanks, research institutes and organizations...
0 Reactions
0 Replies
474 Views
Hii kauli ni nzito saana iliotolewa na viongozi wa juu wa serikalini Mungu Ibariki Tanzania [emoji1241] Mungu Ibariki Africa[emoji1321]
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Sasa hivi ikifikia muda wa kusoma magazeti anasikika Maulidi Kitenge na Musa Kipanya, sasa Hando sijui wapi.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tupo Watanzania wengi wazalendo tutamsaidia kutimiza ndogo zake,ndani ama nje ya Tanzania.Mungu anajua hatima yake wala binadamu yeyote kwa hila hawezi zuia mpango wa Mungu.
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wanaJF, Nimekuja kwenye jamvi hili kujaribu kufikisha ujumbe kwa Secretariati ya Ajira (PSRS),kuna usaili wa AFISA USTAWI WA JAMII DARAJA LA II ulifanyika tarehe 02/12/2017 wa mchujo pale...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ukweli ni kwamba halmashauri nyingi haziwezi haziwezi kulipa stahiki, isipokuwa mshahara, kama paid vacation, sickness.....kwa wakati. Muda umefika wa kuondoa likizo za malipo kwa waalimu...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Inasemekana alikamtwa na Polisi kwa kosa la uzururaji, Mabomu yanarindima kuwatawanya vijana wenye hasira muda huu ====== Kijana Allen mkazi wa Kata ya Iyela, alikamatwa juzi akiwa na...
19 Reactions
192 Replies
30K Views
Mwanadada mmoja wa Kimarekani aitwae Erin Hester aliyekuwa ndani ya Gari lake aliweza kumuona Mwanajeshi mmoja akifanya Kitendo ambacho ni adimu na nadra sana kukiona kwa Wanajeshi pale ambapo...
10 Reactions
137 Replies
14K Views
Wengi tulikuwa tunalalamika haki itendeke kwa marehemu aqulina... Kumbe kimya kingi kina mshindo.. Hatimaye watuhumiwa wa maandamano batili wako mbele ya mahakama... Na huko mahakamani haki...
4 Reactions
24 Replies
4K Views
hapa vipi sasa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa kitabu cha Jaji Barnabas A. Samatta kiitwacho “Uhuru wa mahakama” anasema, chombo cha utoaji haki yaani mahakama kinapaswa kuwa huru na kifanye kazi yake kwa misingi ya uadilifu...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Maana yake "Taifa linapokuwa katika hali ya vita, walevi na machangudoa huendelea kunywa na kufanya ngono kwenye mabaa na makasino" Katika mantiki ya kifalsafa msemo huu hauwahusu walevi wa pombe...
0 Reactions
2 Replies
862 Views
Nakumbuka hizi nyimbo ziliibwa zamani sana lakini je ingekuwaje hizi nyimbo zingekuwa ndo zinatoka kipindi hiki . Nyimbo zenyewe kama zifuatazo. Juma nature hii hali sasa imekuwa ngumu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…