Kitendo cha Heshima na Kishujaa kilichofanywa na huyu Mwanajeshi wa USA wa kwetu TZ wangekiweza?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,546
108,876
Mwanadada mmoja wa Kimarekani aitwae Erin Hester aliyekuwa ndani ya Gari lake aliweza kumuona Mwanajeshi mmoja akifanya Kitendo ambacho ni adimu na nadra sana kukiona kwa Wanajeshi pale ambapo Mwanajeshi huyo aliweza kuonyesha kwamba kweli ' Uanajeshi ' ni zaidi ya ' Nidhamu ' ya kawaida ambayo unaweza kuikuta kwa Raia mwingine yoyote baada ya kuamua kushuka ghafla katika Gari lake tena katika ' Mataa ' huku Mvua kubwa sana ' ikinyesha ' na kuipigia ' Salute ' Gari ambayo ilikuwa imebeba ' Jeneza ' inakwenda ' Kuzika ' huku Yeye akiwa ameloana ' chapachapa '.

Na kilichowashangaza wengi ni kwamba hilo Gari lililobeba ' Jeneza ' lilikuwa ni la Raia tu halafu hata huyo ' Marehemu ' mwenyewe alikuwa hajulikani na huyu ' Askari ' mpiga ' Salute ' wala Ndugu wa ' Marehemu ' nao alikuwa hawajui kitu ambacho kiliwavutia ' Wamarekani ' wengi huko katika mji wa Kentucky na hatimaye kummiminia ' Kongole / Pongezi ' nyingi mno huyu Mwanajeshi / Mjeda.

Swali ni dogo tu je hii nidhamu ' iliyotukuka ' kutoka kwa huyu ' Afande ' wa Kimarekani tunaweza pia ' kuibahatisha ' siku moja kuiona kwa ' Wajeda ' wa Kitanzania hasa hasa katika matukio muhimu ya Gari zilizobeba ' Majeneza ' ya Raia huku ' Bogi / Mvua ' kubwa inanyesha?

Shikamooni ' Maafande / Wajeda ' wote nchini Tanzania hata wale mliopo sasa Sudan na Congo DR.

Endapo utapenda kupata ' uhondo ' kamili wa hii ' Kitu ' ya huyu ' Afande ' wa Kimarekani basi ingia tu Foxnews.com utapata zaidi ya haya.

Mwanamume nawasilisha.
 
Inavyotakiwa ni kuwa mwanajeshi akiona gari ambalo limebeba jeneza au mwili wa marehemu yoyote apige saluti, lakini wabongo jinsi tulivyo akili zetu tunazijua wenyewe, ikitokezea mwanajeshi akifanya hivyo sisi tutamuona mjinga, hajui kitu, zumbukuku, kalogwa au kichaa.

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
 
PUMBAVU UNAKASHFU JESHI LETU KISA MAITI YA MZUNGU HUNA HATA AIBU, NILIDHANI KAWAOKOA WATU KUTOKA GHOROFA YA 200 AKARUKA NAO CHINI KUMBE UNAANDIKA UPUMBAVU HUNA AKILI HATA KDOGO, ULIMBUKENI UTAWAUA KUDHANI KILA KINACHOFANYIKA ULAYA NI JAMBO LA MAANA HAPO BINAFSI NAMUONA MWENDAWAZMU. BARABARANI SYO ENEO RASMI LA KUTOA HESHIMA KWA MAREHEMU PUMBAVU WEWE WAAMBIE NA WAJINGA WENZIO. KLA JAMBO LINA MAHALI PAKE.

Akili yako fupi kama ' Mavi ' yangu ya mchana ndiyo yamekufanya uwe ' Mpumbavu ' kama hivi ulivyodhihirisha. Nimeanzisha ' uzi ' kwa dhania Kuu mbili moja ni kusifia ' ukakamavu ' wa Wanajeshi ambao najua upo kote duniani lakini dhania ya pili ni kutaka tu ' kuhanikiza / kuchochea ' hiki Kitendo pia kama kina ' Tija ' basi si vibaya ' kikiigwa ' na hata ' Wanajeshi ' wetu. Dunia nzima Watu wanaishi kwa ' Kujifunza ' hivyo pale unapoona wenzenu wamefanikiwa mahala fulani basi siyo dhambi ' Kuwaiga ' ili mradi tu usiharibu ile misingi yenu.

Huwa napenda mno kukutana na ' Wapumbavu ' wa aina yako humu JF na kwakuwa ' Kitu ' kikubwa ambacho Mwenyezi Mungu ' amenibariki ' nacho ni ' akili / fikra / upeo ' huwa kamwe ' sichoki ' kuwafundisha jinsi ya Kujenga hoja hasa humu JF. Mada zangu nyingi ukiwa ' Mpumbavu ' kama ulivyo Wewe unaweza usizielewe ila ukituliza vizuri IQ yako utajua kuwa zinajenga au zinahanikiza jambo gani positive katika Jamii.

You're very hopeless Creature to live on this earth.
 
Dah.... Kumbe chief uko Marekani

Sent from my Osborne II using JamiiForums Mobile App
 
Mwanajeshi wa Kimarekani aitwae Erin Hester leo ameweza kuonyesha kwamba kweli ' Unajeshi ' ni zaidi ya ' Nidhamu ' ya kawaida ambayo unaweza kuikuta kwa Raia mwingine yoyote baada ya kuamua kushuka ghafla katika Gari lake tena katika ' Mataa ' huku Mvua kubwa sana ' ikinyesha ' na kuipigia ' Salute ' Gari ambayo ilikuwa imebeba ' Jeneza ' inakwenda ' Kuzika ' huku Yeye akiwa amelona ' chapachapa '.

Na kilichowashangaza wengi ni kwamba hilo Gari lililobeba ' Jeneza ' lilikuwa ni la Raia tu halafu hata huyo ' Marehemu ' mwenyewe alikuwa hajulikani na huyu ' Askari ' mpiga ' Salute ' wala Ndugu wa ' Marehemu ' nao alikuwa hawajui kitu ambacho kiliwavutia ' Wamarekani ' wengi huko katika mji wa Kentucky na hatimaye kummiminia ' Kongole / Pongezi ' nyingi mno huyu Mwanajeshi / Mjeda.

Swali ni dogo tu je hii nidhamu ' iliyotukuka ' kutoka kwa huyu ' Afande ' wa Kimarekani Erin Hester tunaweza pia ' kuibahatisha ' siku moja kuiona kwa ' Wajeda ' wa Kitanzania hasa hasa katika matukio muhimu ya Gari zilizobeba ' Majeneza ' ya Raia huku ' Bogi / Mvua ' kubwa inanyesha?

Shikamooni ' Maafande / Wajeda ' wote nchini Tanzania hata wale mliopo sasa Sudan na Congo DR.

Endapo utapenda kupata ' uhondo ' kamili wa hii ' Kitu ' ya huyu ' Afande ' wa Kimarekani basi ingia tu Foxnews.com utapata zaidi ya haya.

Mwanamume nawasilisha.
Huo ndiyo ushujaa kwako?

Havome
 
Akili yako fupi kama ' Mavi ' yangu ya mchana ndiyo yamekufanya uwe ' Mpumbavu ' kama hivi ulivyodhihirisha. Nimeanzisha ' uzi ' kwa dhania Kuu mbili moja ni kusifia ' ukakamavu ' wa Wanajeshi ambao najua upo kote duniani lakini dhania ya pili ni kutaka tu ' kuhanikiza / kuchochea ' hiki Kitendo pia kama kina ' Tija ' basi si vibaya ' kikiigwa ' na hata ' Wanajeshi ' wetu. Dunia nzima Watu wanaishi kwa ' Kujifunza ' hivyo pale unapoona wenzenu wamefanikiwa mahala fulani basi siyo dhambi ' Kuwaiga ' ili mradi tu usiharibu ile misingi yenu.

Huwa napenda mno kukutana na ' Wapumbavu ' wa aina yako humu JF na kwakuwa ' Kitu ' kikubwa ambacho Mwenyezi Mungu ' amenibariki ' nacho ni ' akili / fikra / upeo ' huwa kamwe ' sichoki ' kuwafundisha jinsi ya Kujenga hoja hasa humu JF. Mada zangu nyingi ukiwa ' Mpumbavu ' kama ulivyo Wewe unaweza usizielewe ila ukituliza vizuri IQ yako utajua kuwa zinajenga au zinahanikiza jambo gani positive katika Jamii.

You're very hopeless Creature to live on this earth.
Kubali umechemka.ni uchizi kutoa salute kwa mzoga usiouelewa hata CV yake,possibly angejilipua na we ukafa.
Napata mashaka sana na uelewa unaojisifia nao kabla ya sisi kukusifia

Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
 
dah mkuu watu wanaenda zika marehem wao we unasema mzoga!!! inaelekea una roho mbaya sana wewe
 
Erin Hester alikuwa ni observer sio mwanajeshi

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app

Akhsante Mkuu kwa observation yako na tayari nimesharekebisha katika ' Content ' nzima paragraph ya mwanzo. Ubarikiwe kwani ' nilivapa ' kidogo.
 
KWA UPUMBAvu wako huohuo kasome kwenye kamusi neno Shujaa lina maana gani? Na siyo upumbavu uliokota huko kuja kutukana na kudharau jeshi letu bado nasema HUNA AKILI, sasa unataka mwanajeshi wa Tanzania ajifunze upumbavu wa huyo mzungu kupiga salute kwa maiti akiwa traffic light ?? Hivi unaweza fanya chochote mahali pale kama una akili timamu zad ya kusubr taa ziwake ili uondoke na kuruhusu wengine wapite? Kwa taarifa yako na kundi la wajinga wenzio umeona ni kitu cha maana kuimport ndani ya nchi yako?? Wale waliokuwa wakimshangaa huyo unayemuita shujaa walikuwa wakishangaa kwamba mwendwazimu kasimama kwenye mataa na kupiga salute na ungekuwa hata chipukizi umefundishwa ungejua salute hapigwi kipumbavu kama unanavyolazimsha wewe kuwa ni kitendo cha kishujaa. Lete vtu vya maana siyo bhangi ulizopost leo kwa mbwembwe nyingi ukidhani unaongea jambo la maana.
 
Back
Top Bottom