mchumi tumbo
JF-Expert Member
- Mar 2, 2018
- 832
- 997
Nataka kusafiri kwenda Songea siku chache zijazo.Niliwahi kusafiri Songea miaka ya 2009-10 enzi hizo Ottawa High Class ipo kwenye chat na tulikuwa twatumia njia ya makambako.
Sasa hivi nasikia kuna gari nyingi zinaenda na zipo zinazopitia Lindi na nyingine Makambako.
Kwa yeyote mwenye ufahamu wa gari zipi ni nzuri kwa sasa na njia ipi nikipita naweza enjoy zaidi safari naomba anijuze.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.