uvugizi
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,351
- 1,100
ONGOZA watu kwa kuwanyanyua ,, jiepushe na swala la kuwa "" Mimi ndiyo boss na nimesema "" Saidia watu wengine kujua mambo , kesho watasaidia na wao wengine pia, aidha wakiwemo wanao .....
Kuwa kama "JUA " linamulika chini lakini mimea inakua kwa kulifuata " JUA" Juu. Usiwaongoze watu kwa kuwagandamiza na kuwarudisha chini , watakushusha tu.
Kumbuka Mungu ana inua ila hapandishi , unayepanda ni wewe ulioinuliwa , ukianzia zero ndiyo formula ya Mungu
Be inspired