Ubaya wa serikali ya awamu ya tano hauhalalishi awamu ya Kikwete iwe nzuri. Kikwete alikuwa rais mbovu. Aliachia kila kitu kijiendee chenyewe. Magufuli anajitahidi kuwajibika. Tatizo lake kubwa ni anavyo-deal na watu wenye mawazo tofauti na yake. Kila awamu itakosolewa kwa mazuri na mabaya iliyonayo!hapa vipi sasa...View attachment 726932
Liko uwanjani kunyanyasa na kutesa watanzaniaTingatinga liko uwanjani
sijasema awamu ya 5 mbayaUbaya wa serikali ya awamu ya tano hauhalalishi awamu ya Kikwete iwe nzuri. Kikwete alikuwa rais mbovu. Aliachia kila kitu kijiendee chenyewe. Magufuli anajitahidi kuwajibika. Tatizo lake kubwa ni anavyo-deal na watu wenye mawazo tofauti na yake. Kila awamu itakosolewa kwa mazuri na mabaya iliyonayo!
Umesema awamu ya sita sio?....hahahahasijasema awamu ya 5 mbaya
Tatizo hao ndio waliomfanya afanye ayafanyayo..baada ya kuonekana ya kikwete mabovu..bahati mbaya wamegeuka tena wanasema hapana ya jk ndio mazuri..hata ungekuwa wewe ungeacha kuwatia displini kaka?? Nani angevumilia upuuzi wao?? Labda angekuwa dhaifu zaidi ya kikwete ndiye angevumiliaUbaya wa serikali ya awamu ya tano hauhalalishi awamu ya Kikwete iwe nzuri. Kikwete alikuwa rais mbovu. Aliachia kila kitu kijiendee chenyewe. Magufuli anajitahidi kuwajibika. Tatizo lake kubwa ni anavyo-deal na watu wenye mawazo tofauti na yake. Kila awamu itakosolewa kwa mazuri na mabaya iliyonayo!