Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimeiona hii kwa wenzetu na kujiuliza kuwa lini vyuo vya hapa kwetu vitafanya hizi ili kuwahamasisha wanafunzi na wanazuoni wetu kupata kusikia na kuuliza maswali kutoka kwa watu waluofanikiwa...
1 Reactions
4 Replies
805 Views
MKOANI KATAVI AMUUA MKEWE NA KUZIKA MWILI WAKE Jeshi la Polisi mkoani Katavi linamshikilia mkazi wa Kijiji cha Songambele Kata ya Sibwesa Tarafa ya Karema Wilaya ya Tanganyika jina...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Wanajamvi salama, Hivi kwanini kina mama wengi ambao wanamiliki nyumba huwa wana roho mbaya, gubu na wabinafsi sana tofauti na kina baba. Unapanga kwake unamlipa kodi tena anakupangishia chumba...
5 Reactions
66 Replies
6K Views
Habari Ningependa kuishauri serikali ya Tanzania kama kweli ipo na nia ya kuendeleza viwanda hapa nchini basi iwekeze katika uzalishaji wa chuma na umeme wa kutosha. Maana ya kusema hivi ni...
1 Reactions
1 Replies
787 Views
Yusuph Makamba, si jina geni. Ni jina ambalo katika siasa za Tanzania huwezi ukaliacha kutokana na umaarufu wake hasa baada ya kuwahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam enzi za Rais Jakaya...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Najua kwamba ungefurahi sana kuona ukiizunguka dunia unavyotaka, utembelee fukwe zote duniani, hoteli na sehemu nyingine nyingi. Labda unasema kwamba kuna siku ukipata pesa utafanya starehe kwa...
7 Reactions
57 Replies
13K Views
Katika kuadhimosha sikukuu ya pasaka mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ndugu Paul Makonda amekabidhi delivery packs 200 kwa ajili ya wakinamama wajawazito 200 watakaojifungua kipindi hiki cha pasaka.
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Kwanini Makondakta wanapenda kukimbilia magari, ina faida gani kwao?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Askofu wa Kanisa Katoliki jimbo la Mbeya, Evarist Chengula kuhusu ujumbe uliotolewa hivi karibuni na maaskofu, Askofu Chengula amewataka Watanzinia kuelewa kwamba maaskofu hawana nia mbaya bali...
6 Reactions
52 Replies
13K Views
Wenye kujua juu ya hili. Nataka kuweka picha ya Rais wangu katika duka langu je inafaa? Najisiki fahari sana ninapoona picha ya Rais katika ofisi mbalimbali, iwe ya ofisi ya Serikali au binafsi...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Inasikitisha sana, zamani ilikuwa askari polisi akipata matatizo wananchi ndio walikuwa wa kwanza kutoa msaada tofauti na sasa ambapo polisi na wananchi hawaaminiani. Uhasama kati ya jeshi la...
23 Reactions
250 Replies
27K Views
Mimi ni mmoja ya wale tuliokuwa tuliosalimika kiaina kwenye uhakiki wa Mara ya kwanza, sasa jamaa wamerudi kwa uhakiki upya maofisini. Tarehe 24 imefika, kuangalia kwenye ATM ya mshahara Hola...
45 Reactions
117 Replies
24K Views
Tunaelewa siku zote risasi haina macho...swali jepesi kwa kamanda ambaye ameendelea kuwaadaa waandishi wetu...maskini nao.......JE..anatafutwa Askari huyo kwa kosa la kumuua A.Q?...kwani alijua...
0 Reactions
1 Replies
945 Views
Karibu! Ujumbe wa Pasaka ni kwamba mchakato wa kupata viongozi bora ,2018 yaani serikali ya mtaa na 2020 ubunge uanze sasa! Tusisubiri uchaguzi upite ndio tuanze kulaumiana!
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Nimefuatilia kipindi cha Meza Huru Leo kupitia ITV mada ikiwa zoezi la ukaguzi magari linaloendelea nchini, bahati mbaya nilikosa muda wa kuchangia pale studio kwa njia ya simu. Nimestuka kuona...
5 Reactions
50 Replies
7K Views
Ni sawa wengine mtasema sio lugha yake lakini mambo mengine ni aibu sana, kwanini watanzania tuko hivi? Hizi taaluma zimekua zikivamiwa tu na mkuu wa redio/tv anaruhusu tu, sijui hata kama...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Natamani kila mtu angekuwa na uwezo wa kuiona hatari itakayosababishwa na vitendo vitokanavyo na matendo ya maksudi ya baadhi ya watu ama vikundi vya watu vya kuivunja katiba na sheria...
0 Reactions
1 Replies
742 Views
Kuna utapeli umanza saizi mtu anakupigia cm anakwambia yeye ni mfanyakazi wa kampuni anakutumia namba ili umtumie pesa Epukaana nao hao ni matapeli
0 Reactions
4 Replies
1K Views
TANESCO na REA (USA River), Mlikwenda kwa mbwembwe nyingi kuchimba mashimo na kuweka nguzo za umeme, kijiji cha Embaseni Arumeru Mashariki. Mkahamasisha watu wafanye wiring kwamba umeme wa...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Usafwani Mbeya. Maelfu ya Vijana mbeya wamsindikiza kwenye makazi ya milele kijana Allen, Ni kijana wa miaka 20 aliyekuwa mfanyabiashara wa machungwa mkoani Mbeya. Leo March 28, 2018 Mazishi...
0 Reactions
127 Replies
24K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…