TBC live: Ibada ya Ijumaa Kuu

TBC live: Ibada ya Ijumaa Kuu

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,598
Karibu! Ujumbe wa Pasaka ni kwamba mchakato wa kupata viongozi bora ,2018 yaani serikali ya mtaa na 2020 ubunge uanze sasa! Tusisubiri uchaguzi upite ndio tuanze kulaumiana!
 
SERIKALI IJITATHIMINI..UNAPOONA MAASKOFU WA KATOLIKI NA LUTHERAN WANAONGEA NI VIZURI UJIPIME. HASA KUWAFUNGA WATU WASIONAHATIA HASA WANASIASA BADALA YAKUSHUGULIKA NA MAJIZI YA MALI ZA UMMA NI KOSA KUBWA SERIKALI INAFANYA KWA SASA

Baba askofu ameichamba selikali yaani bila kuogopa
 
Karibu! Ujumbe wa Pasaka ni kwamba mchakato wa kupata viongozi bora ,2018 yaani serikali ya mtaa na 2020 ubunge uanze sasa! Tusisubiri uchaguzi upite ndio tuanze kulaumiana!
2020 na urais tuanze kutafuta atakayesimamishwa kuanzia sasa, si ccm si upinzani.
 
ukitaka kuficha mahubiri yako itumie TBC , hii TV watu wameichoka mno !
 
Karibu! Ujumbe wa Pasaka ni kwamba mchakato wa kupata viongozi bora ,2018 yaani serikali ya mtaa na 2020 ubunge uanze sasa! Tusisubiri uchaguzi upite ndio tuanze kulaumiana!
Bunge haliwi live...... Yaani wewe acha tu inavyokera
 
Baba askofu ameichamba selikali yaani bila kuogopa
Kwa hiyo Yesu alimtuma aende ulimwenguni akachambe serikali? Kifo cha makanisa kinainyemelea Tanzania na ukiangalia makanisa ambayo yamejitosa siasa ni Yale yaliyoletwa na wamisionari toka ulaya ya katoliki na Lutheran ambako ulaya sasa hivi mengi matupu hayana Waumini shauri ya kuendekeza siasa. Kifo cha hayo makanisa toka ulaya kinayanyemelea .Ukiangalia makanisa ya kutoka nchi zingine nje ya ulaya kama marekani nk yaliyoko Tanzania hayapendi kuchanganya siasa kabisa .Haya ya kutoka ulaya kuna shida.
 
Back
Top Bottom