Picha ya Rais kuweka dukani inafaa?

Picha ya Rais kuweka dukani inafaa?

chumanil

Senior Member
Joined
Jan 20, 2018
Posts
121
Reaction score
73
Wenye kujua juu ya hili.

Nataka kuweka picha ya Rais wangu katika duka langu je inafaa?

Najisiki fahari sana ninapoona picha ya Rais katika ofisi mbalimbali, iwe ya ofisi ya Serikali au binafsi. Hivyo najikuta nami nataka kuweka dukani kwangu.

Sasa je kunakuwa na vigezo vinavyotumika katika uwekaji picha hiyo katika maduka?
 
wenye kujua juu ya hili.
NATAKA KUWEKA PICHA YA RAIS WNGU KTK DUKA LANGU JE INAFAA?
najisiki fahari sn ninapo ona picha ya Rais ktk ofisi mbalimbali,iwe ya ofisi ya s/kali au binafsi.hivyo najikuta nami nataka kuweka dukani kwngu.sasa je kunakua na vigezo vinavyo tumika ktk uwekaji picha hyo ktk maduka?
Nikikwambi chagua kuweka picha moja tu dukani kwako, ya baba yako mpendwa au ya Muheshimiwa Raisi. Utaweka hipi?
 
wenye kujua juu ya hili.
NATAKA KUWEKA PICHA YA RAIS WNGU KTK DUKA LANGU JE INAFAA?
najisiki fahari sn ninapo ona picha ya Rais ktk ofisi mbalimbali,iwe ya ofisi ya s/kali au binafsi.hivyo najikuta nami nataka kuweka dukani kwngu.sasa je kunakua na vigezo vinavyo tumika ktk uwekaji picha hyo ktk maduka?
Unataka Kufukuza wateja?
 
Weka tu, ila utapata wateja wa uvccm tu
 
wenye kujua juu ya hili.
NATAKA KUWEKA PICHA YA RAIS WNGU KTK DUKA LANGU JE INAFAA?
najisiki fahari sn ninapo ona picha ya Rais ktk ofisi mbalimbali,iwe ya ofisi ya s/kali au binafsi.hivyo najikuta nami nataka kuweka dukani kwngu.sasa je kunakua na vigezo vinavyo tumika ktk uwekaji picha hyo ktk maduka?
Rais yupi mkuu maana marais tupo wengi
 
wenye kujua juu ya hili.
NATAKA KUWEKA PICHA YA RAIS WNGU KTK DUKA LANGU JE INAFAA?
najisiki fahari sn ninapo ona picha ya Rais ktk ofisi mbalimbali,iwe ya ofisi ya s/kali au binafsi.hivyo najikuta nami nataka kuweka dukani kwngu.sasa je kunakua na vigezo vinavyo tumika ktk uwekaji picha hyo ktk maduka?

Akija kuchukua rambirambi zote kwenye misiba yako usinune!
 
Basi ndio ikawa hivyo[emoji116] [emoji116] [emoji116]
d7fba8a1998821d8b86237b2d980539b.jpg
Mshana we noma aisee
 
wenye kujua juu ya hili.
NATAKA KUWEKA PICHA YA RAIS WNGU KTK DUKA LANGU JE INAFAA?
najisiki fahari sn ninapo ona picha ya Rais ktk ofisi mbalimbali,iwe ya ofisi ya s/kali au binafsi.hivyo najikuta nami nataka kuweka dukani kwngu.sasa je kunakua na vigezo vinavyo tumika ktk uwekaji picha hyo ktk maduka?

Weka ya Donald trump itakuletea pesa hizo nyingine kama unahitaji mikosi na hasara weka
 
Getoni kwako si umeweka ya Snoopy Dog, Nelly, R.kelly, nk

Kama unaelewa maana ya kuweka picha ya rais dukani kwako weka, maana hata wale walio weka kwenye maoffisi yao binasfi sio kwakupenda kwao
 
Hata picha pia unaiogopa? Magu kajua kutia watu jamba.
 
Wenye kujua juu ya hili.

Nataka kuweka picha ya Rais wangu katika duka langu je inafaa?

Najisiki fahari sana ninapoona picha ya Rais katika ofisi mbalimbali, iwe ya ofisi ya Serikali au binafsi. Hivyo najikuta nami nataka kuweka dukani kwangu.

Sasa je kunakuwa na vigezo vinavyotumika katika uwekaji picha hiyo katika maduka?
Weka ya watu wenye nyota ya mafaniko nyota ya Pesa kama billgate nk.Zingine utapata hasara utakimbiza wateja,wasiopenda na wenye chuki na Picha hizo.
 
Back
Top Bottom