Hivi hii adha ya watu kusubirishwa mpaka miezi mi 4 sasa kupata leseni ya udereva, shida ni nini huko TRA?
Je, ni hizo material kama watu wanavyosema au ni nini?
Mwenye ufahamu na hili swala...
Wadau,
Nimeshuhudia watu wakila na kuliwa kwenye machine za mchina yaani unaweka 200 unaibuka na 4000.
Swali hapa ni kwamba wanaopata faida ni wachezaji au wachina?
Kwa wale wamiliki wa blog ambao wana share nje za nchi wanaotaka traffic kubwa na ambao wana share kwa group za nje ex south Africa
Kuna account za Facebook nauza zipo 600
Nauza kwa pamoja...
Nipo zangu mitaa ta darajani Zanzibar katika kupita pita nikaona kuna kikundi cha watu kimezunguka kwa wingi.
Nimejaribu kuulizia nikaambiwa wameliamsha dude wao kwa wao.
Baada ya hapo...
Ukitaka kufurahia maisha kama mtumishi wa umma, tumia vitu vya umma.
Usafiri:
Tumia usafiri wa umma (public transport) ukitumia usafiri binafsi kwa mshahara tu, at some point utakwama, mshahara...
Serikali za Burundi, Tanzania pamoja na shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR wamekubaliana kuharakisha mchakato wa kuwarejesha wakimbizi wa Burundi walioko kwenye makambi...
JOPO la Wataalamu kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Maofisa Ustawi wa Jamii, Wanasheria pamoja na askari Polisi kutoka Dawati la Jinsia wamemuhakikishia Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul...
Hekari zaidi ya 10 za mazao ya wakulima wa wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro zimeharibiwa na jeshi la Polisi kwa madai kuwa zimeoteshwa kwenye eneo lililotengwa kwa ajili ya matumizi ya mafunzo...
Watu watatu wa familia moja wakazi wa kata ya Sitalike katika halmashauri ya Nsimbo mkoani Katavi wamekufa baada ya kula uyoga unaodhaniwa kuwa na sumu na wengine wawili wamenusurika kifo baada ya...
Doctors baffled by UK man who has strongest gonorrhoea strand ever identified
A man in the UK has contracted a super-strength strand of gonorrhoea believed to be the first case globally to...
Naungana na Mtunga zaburi...
"Jambo moja moja nimelitaka kwa bwana, nalo ndilo nitakalolitafuta, nikae nyumbani kwa bwana siku zote za maisha yangu,Niutazame uzuri wa Bwana, na kuutafakari...
WIMBI la kuuawa na kisha miili kutupwa kwenye visima vya maji wilayani Butiama limezidi kuongezeka baada ya mfanyabiashara mmoja, mkazi wa Kijiji cha Busirime, kata ya Butuguri wilayani Butiama...
Hatimaye yale magari ya wagonjwa yaliyookotwa na Rais Magufuli bandarini ile siku aliyosema tusimshangae kwa kuwa anasumbuliwa na frastresheni zake - hatimaye yameanza kupelekwa katika Zahanati na...
Huwezi kuwa zaidi ya UNAVYOJIONA.Sehemu ya kwanza ya mafanikio yako ni Ile picha ya KUHUSU WEWE uliyonayo ndani yako.
UNAJIONAJE?
Kuna watu wanajiona HAWAWEZI kwa sababu kuna watu waliwaambia...
Habari wataalam, mwenye ujuzi na hii issue na shimo la choo limejaa nusu(maji) ndani ya wiki 2.
Inaoneka maji yanapanda chini na pia hayanyonywi chini.
Mwenye kujua cha kufanya tafadhali.
Kwenu wadau wa kusaka Ajira. Katika pita pita nilikutana na tangazo la ajira/mafunzo TCAA Website wanahitaji wahitimu wa Chuo kikuu Bsc. Umri miaka 25 mwisho na deadline iwe 25/3/2018. Hawakusema...
Binti Salma Abdalah ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha pili mkoani Mtwara aliyekuwa akiishi Mbawala Chini, amefariki dunia kwa kujinyonga, baada ya kukutwa na simu ambayo alipewa na mpenzi wake...
Wanabodi,
Niko hapa ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip Zanzibar, ambapo
MAMLAKA YA CHAKULA NA DAWA ZANZIBAR (ZFDA) INAZINDUA UTOAJI HUDUMA ZA USAJILI KIDIGITALI KWA LENGO LA KUBORESHA HUDUMA NA...
Katibu wa msingi Kilba 10, Omary hamadi Ramadhani. A.K.A Ommy Guy
Ameambatana na wanachama wa CHADEMA wasiopenda uonevu wa kijinga kijinga usiofuata sheria za nchi.
Tumeamua kulala kwenye...
Again did you know that snakes never die naturally except by violence ? Yes this is the fact and if you did not know here I tell you. Snakes never die naturally except by violence and if un...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.