Serikali ya Tanzania chini ya Wizara ya Maliasili na utalii imeamua kubadili mfumo wa ulinzi wa hifadhi zake na maliasili kiujumla kuwa mfumo wa Kijeshi.
Mfumo huo pamoja na kupambana na ujangili...
Morning my brothers and Sisters.
Knowledge is power, and indeed, once is acquired and shared. I happened to read various books and through my accumulated life experience still can't get it. When...
Sakata la madawa ya kulevya lililoibuliwa na RC Makonda lililalmikiwa jinsi lilivyoendeshwa japo lengo lilikiwa zuri.
Naliona tena sakata la watoto waliotelekezwa linakuja na sura ile ile kwa...
KIBAHA. Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amemtaka meneja Tanesco Mkoa wa Pwani, Martin Madulu kufanya uchunguzi kumbaini mtumishi wa shirika hilo, aliyemtaka mkazi wa Kibaha ashiriki katika...
Mwaka jana ilikua majira ya asubuhi, nilienda hospital baada ya kujiskia siko sawa kiafya, sikua mgonjwa sana ila niliamua niende nipime afya yangu..
Nilifika hospitali na moja kwa moja nikaonana...
Hutu tutoto tunavyoingiaga kwenye mapenzi tunajiona tujaaanja dunia nzima yao na wazazi wanaojaribu kuwa weka kwenye mstari washamba tu hawaujui utamu wa dunia.
MWADHAMA Polycarp Kardinali Pengo amewaomba waumini wa dini zote nchini, waendelee kumuombea kwa Mwenyezi Mungu ili aendelee kuwa mwaminifu katika kutenda kazi ya kumtumikia Mungu.
Kardinali...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeiahirisha kesi ya utakatishaji fedha kiasi cha USD 375,418 (TZS milioni 847), inayomkabili aliyekuwa Rais wa TFF, Jamal Malinzi na wenzake. Upelelezi wa kesi...
Binafsi mimi ni mkristo niliyeokoka, naamini katika Neno la Mungu na si katika mtu, nimebatizwa na nimejazwa Roho mtakatifu. Ni msomaji wa Biblia.
Kuna maandiko yanatumiwa na watu wachache ili...
Habari za asubuhi wanaJamiiF.
Nimemsikia mtangazaji wa radio 94.5Fm Dar ambeye nimeweza kumfahamu kwa jina moja la Stanley ambae baada ya kutusikilizisha nini Fatma Karume anazungumza kuhusu...
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi amesema itafika wakati watumishi watakaokuwa wakihamishiwa katika wilaya hiyo watafanyishwa mtihani ili kubaini uwezo wao wa utendaji.
Amesema watakaofeli...
Sukari tumeshindwa , Je tutaweza viwanda vya dawa?
Ni akili mbovu tu.....Sukari kutoka Brazil or Pakistan iwe cheap kutoka Tanzania?
Sukari ya Brazil na Pakistan iwe bei rahisi kuliko kilombero...
Ofisi ya Mkurugenzi wa mashtaka wa Serikali (DPP) inafanya taratibu kuangalia jinsi ya kumaliza shauri hili..
Kesi tayari, imeahirishwa now. Hadi Aprili 30.
Jamhuri imewakilishwa na Wakili...
Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Wilaya ya Mbeya ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya hiyo, William Ntinika amefunguka na kuweka wazi kuwa serikali itagharamia mazishi ya kijana Alen Achiles...
Shirika la Reli Tanzania(TRC) limeamua kukusogeza karibu zaidi kwa kukufuata ulipo na kukurahisishia namna ya kutupata kwa kufungua kurasa mahususi kwa ajili ya mawasiliano na umma wake.
Hivi sasa...
Ajali ya BUS KAMPUNI YA SHARON Linalo fanya safari Kati ya Moshi kwenda Iringa Jana lilipata ajali eneo la Nyabu.
Idadi ya majeruhi na waliokufa bado haijajulikana, kaa tayari kwa taarifa zaidi.
Eti niandamanishwe kisa mwanasiasa, thubutu! Hawa wanasiasa huwafanya watu kama njia au daraja kuyafikia malengo yao na si vinginevyo.
Juzi watu waliumia kwa kosa la kutumiwa na wanasiasa...
Naomba mwongozo juu ya hili. Hivi kuna mwongozo unaozuia watumishi serikali sekta wa afya kutibiwa hospitali za binafsi? Mfano, mimi nimeumwa ghafla usiku na ni mtumishi serikalini katika zahanati...
UNAVYO JIHISI KIFO.
Mtu huwa hatambui kuwa amekufa pale anapokufa. Yeye hujihisi anaota anakufa, anajihisi analia, anaoshwa, anafungwa na anateremshwa kaburini.
Bado anajihisi kuwa anaota...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.