Wenye kujua juu ya hili.
Nataka kuweka picha ya Rais wangu katika duka langu je inafaa?
Najisiki fahari sana ninapoona picha ya Rais katika ofisi mbalimbali, iwe ya ofisi ya Serikali au binafsi...
Inasikitisha sana, zamani ilikuwa askari polisi akipata matatizo wananchi ndio walikuwa wa kwanza kutoa msaada tofauti na sasa ambapo polisi na wananchi hawaaminiani.
Uhasama kati ya jeshi la...
Mimi ni mmoja ya wale tuliokuwa tuliosalimika kiaina kwenye uhakiki wa Mara ya kwanza, sasa jamaa wamerudi kwa uhakiki upya maofisini.
Tarehe 24 imefika, kuangalia kwenye ATM ya mshahara Hola...
Tunaelewa siku zote risasi haina macho...swali jepesi kwa kamanda ambaye ameendelea kuwaadaa waandishi wetu...maskini nao.......JE..anatafutwa Askari huyo kwa kosa la kumuua A.Q?...kwani alijua...
Karibu! Ujumbe wa Pasaka ni kwamba mchakato wa kupata viongozi bora ,2018 yaani serikali ya mtaa na 2020 ubunge uanze sasa! Tusisubiri uchaguzi upite ndio tuanze kulaumiana!
Nimefuatilia kipindi cha Meza Huru Leo kupitia ITV mada ikiwa zoezi la ukaguzi magari linaloendelea nchini, bahati mbaya nilikosa muda wa kuchangia pale studio kwa njia ya simu.
Nimestuka kuona...
Ni sawa wengine mtasema sio lugha yake lakini mambo mengine ni aibu sana, kwanini watanzania tuko hivi?
Hizi taaluma zimekua zikivamiwa tu na mkuu wa redio/tv anaruhusu tu, sijui hata kama...
Natamani kila mtu angekuwa na uwezo wa kuiona hatari itakayosababishwa na vitendo vitokanavyo na matendo ya maksudi ya baadhi ya watu ama vikundi vya watu vya kuivunja katiba na sheria...
TANESCO na REA (USA River),
Mlikwenda kwa mbwembwe nyingi kuchimba mashimo na kuweka nguzo za umeme, kijiji cha Embaseni Arumeru Mashariki. Mkahamasisha watu wafanye wiring kwamba umeme wa...
Usafwani Mbeya.
Maelfu ya Vijana mbeya wamsindikiza kwenye makazi ya milele kijana Allen, Ni kijana wa miaka 20 aliyekuwa mfanyabiashara wa machungwa mkoani Mbeya.
Leo March 28, 2018 Mazishi...
Nipo njia panda!
Mke wangu niliachana nae kizembe japo alinikosea ila bado nampenda sana!
Kuna Mtumishi wa Bwana ameshauri nimtembelee TB Joshua nikamweleze vizuru mke atarudi tu.
Ila 4 M...
Ndugu zangu, wanajamii wenzangu, naomba kujua ni vipi katiba mpya inaweza kuchangia upatikanaji wa huduma bora kama za afya, elimu , barabara na mambo yanayofanana na haya.
Kwa upeo wangu naona...
Kamekua ka tabia, kila matangazaji wa kipindi ikifika mda wa wawasikilizaji kuchangia mada utasikia "Nifollow kwenye ukurusa wangu (yaani mtangazaji) wa instagram/facebook ili uweze kuchangia...
1.hawapendi kukosolewa km anayo mamlaka lazima atakushughulikia...
2.Wanapenda kuhukumu wao tu kibao kikigeuka ...utasikia naonewa kwa sababu za kisiasa
3.hawapendi kuachia nafasi kirahisi labda...
Ninavyojua Mimi Sala ya kwa Mungu Baba huwa ni kama ifuatavyo.....
" Ewe Mwenyezi Mungu....Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo nakushukuru sana umeweza kunipa Mamlaka haya makubwa ya Ufalme na...
MFANYABIASHARA maarufu jijini Arusha,Vicky Laurent Mcharo(40)Mkazi wa Sakina jijini Arusha,amefikishwa katika Mahakama ya mwanzo Maromboso akikabiliwa na kesi tano za Utapeli na kujipatia fedha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.