Inakuaje mtangazaji (radio presenter) hajui kingereza?

Dr Guitar tz

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
312
Reaction score
247
Ni sawa wengine mtasema sio lugha yake lakini mambo mengine ni aibu sana, kwanini watanzania tuko hivi?

Hizi taaluma zimekua zikivamiwa tu na mkuu wa redio/tv anaruhusu tu, sijui hata kama wengine wanapitia vyuo vya utangazaji.

Utakuta siku hizi radio wanajazana watangazaji hata wanne cha zaidi pale ni jokes na kubishana muda unaenda wala topic muhimu hawaizingatii.

Zamani ilikua wazi ili u qualify kuwa mwandishi/mtangazaji basi uwe pia umefanya vizuri kwenye masomo ya lugha, siku hizi kigezo kama hicho ni kama hakizingatiwi.

Siku hizi eti mtu yeyote anatoka alipo kama ni muuza duka au mwanamuziki au comedian eti tayari ana present katika TV ama radio station.

Kuna radio moja ya Fm mtangazaji mdada akisomaga vichwa vya habari magazeti kuna maneno au herufi zinamshinda kabisa! Sasa utajiuliza viongozi wake hawamsikii?

Wengine wanaajiriwa ma dada maalumu kutangaza umbeya tu, hao nao kingereza ni zero tena minus.

Kuna haja wizara husika kupitia tasnia hii, nilichosikia Leo radio moja kubwa watangazaji wakitupiana mpira kumjibu msikilizaji aliyetaka msaada kwao kwa kingereza ni aibu.
 
Ni sawa wengine mtasema sio lugha yake lakini mambo mengine ni aibu sana,kwanini watanzania tuko hivi?
Hizi taaluma zimekua zikivamiwa tu Na mkuu wa redio/tv anaruhusu tu,sijui hata kama wengine wanapitia vyuo vya utangazaji!
Utakuta Siku hizi radio wanajazana watangazaji hata wanne cha zaidi pale ni jokes Na kubishana muda unaenda wala topic muhimu hawaizingatii
Zamani ilikua wazi ili u qualify kuwa mwandishi/mtangazaji basi uwe pia umefanya vizuri kwenye masomo ya lugha,Siku hizi kigezo kama hicho ni kama hakizingatiwi.
Siku hizi eti mtu yeyote anatoka alipo kama ni muuza duka au mwanamuziki au comedian eti tayari ana present katika TV ama radio station.
Kuna radio moja ya Fm mtangazaji Mdada akisomaga vichwa vya habari magazeti kuna Maneno au herufi zinamshinda kabisa!sasa utajiuliza viongozi wake hawamsikii?
Wengine wanaajiriwa ma dada maalumu kutangaza umbeya tu,hao nao kingereza ni zero tena minus!
Kuna haja Wizara husika kupitia tasnia hii,nilichosikia Leo radio moja kubwa watangazaji wakitupiana mpira kumjibu msikilizaji aliyetaka msaada kwao kwa kingereza ni aibu.
Hiyo itakuwa ni radio uhuru na TBC
 
Hebu tutajie jina la hilo Radio ambayo watangazaji wake walikuwa wanatupiana mpira kumjibu msikilizaji kwa kiingereza - ili tuweze kujadili vizuri hili swala. Maana Radio na TV pia za hapo Bongo hilo ni tatizo kubwa sana.
 
Mkuu
Unachopata kinalingana na mshahara wake. Ungejua wanacholipwa, kwanza ungewaonea huruma na usingetamani ndg yako hasa KE aifanye hiyo kazi maana ungetabiri matokeo mara akianza masomo tu.
Wengine ni wale wa hotel, waweza kuta milo yako miwili ndo mshahara wake wa mwezi.
Hizo kazi bila TIP huwa haziendi, na mwisho wa tip ni kutoa namba ya simu.
 
Kwako wewe ulivyozumbukuku kiingereza ndo taaluma kwenye utangazaji!??,kwani hiyo redio inarusha matangazo kwa lugha ya kiingereza!??.Komboka kifikra thamini lugha yako kiingereza ni sawa na kisukuma au kisafwa zote ni lugha.kwahiyo wale watangazaji wa aljazeera au cnn kwakuwa hawaji kiswahili hawana taaluma??
 
Mimi naona ni ujinga mtoa mada ulioandika ...mfano Mimi naweza kuandika Laisi wa Tanzania tumemchoka lakin wewe ukasema nimekosea kuwa nilipashwa kuandika Rais na sio Lais ...Lakin ujumbe unakuwa umefika ...sasa wewe message iwe delivery... au matamshi yazingatiwe...
 
iyo Avatar imekufanya kuwa Zuzu
 
JAWABU MUWAFAKA KWA MTU MUWAFAKA
 
Kwako wewe ulivyozumbukuku kiingereza ndo taaluma kwenye utangazaji!??,kwani hiyo redio inarusha matangazo kwa lugha ya kiingereza!??.Komboka kifikra thamini lugha yako kiingereza ni sawa na kisukuma au kisafwa zote ni lugha.kwahiyo wale watangazaji wa aljazeera au cnn kwakuwa hawaji kiswahili hawana taaluma??
Kwa avatar yako tu wala sikulaumu kusema hivyo.. Ndio nyie wenye Mawazo hayo mliopelekea mpaka Leo miaka 50 hatuna Umeme wa uhakika Na rais analaumu kila speech kua Nani katuroga kumbe ukweli ni nyie sisi emu
 
Inapofika swala la language Duniani huna budi kuipa heshima ya kipekee lugha ya kiingereza
 
Taaluma ya utangazaji ama imevamiwa, ama ndicho kiwango cha nchi ya jiwe. CCM inaua kila kilichochema kilichoachwa na wakoloni. Inarudisha mambo kwenye ujima, ili watu waishi kwa makaabila na machifu miungu wao.

Wengi sikuhizi hawaendi shule wanabebwa na talent unategemea nini sasa
 
Si kosa kutokujua, ila tunaangalia ujumbe umefika au lah! Kiingereza sio sababu ya kuonekana mtu ameendelea ama kufika sehemu fulani... Ingekuwa hivyo basi watu wa asia na hata wengine wa bara la ulaya kama ujerumani n.k kwao kiingereza sio biashara kubwa sana kama huku kwetu kwa afrika. Ndio maana vitu vingi vinatupita sababu ya kujificha kwenye mgongo wa kiingereza.

Hata kwa lugha yetu bado tunaweza fanya vitu vikubwa zaidi kuliko tukifanya kwa utamaduni mwingine....

Hapo mimi nimekukatalia
 
Kwako wewe ulivyozumbukuku kiingereza ndo taaluma kwenye utangazaji!??,kwani hiyo redio inarusha matangazo kwa lugha ya kiingereza!??.Komboka kifikra thamini lugha yako kiingereza ni sawa na kisukuma au kisafwa zote ni lugha.kwahiyo wale watangazaji wa aljazeera au cnn kwakuwa hawaji kiswahili hawana taaluma??
Kisukuma na kisafwa nk sio lugha bali kabila (TRIBES) hivyo hizina hadhi sawa na Kiingereza ambayo ni lugha (LANGUAGE) miongoni mwa International medium na hivyo kukifanya kuwa requirement muhimu ktk spheres za kitaaluma. Sasa tunapokuja ktk nyanja za utangazaji na hasa kwa media zilizo within Commonwealth suala la fluent English kwa presenter au reporter haliepukiki na kutokuzingatia hilo ndio kunazifanya media unit zetu nchini zishindwe ushindani ktk Internatinal levels na kubaki kuwa na coverage ya humuhumu Buguruni.
 
Mimi naona ni ujinga mtoa mada ulioandika ...mfano Mimi naweza kuandika Laisi wa Tanzania tumemchoka lakin wewe ukasema nimekosea kuwa nilipashwa kuandika Rais na sio Lais ...Lakin ujumbe unakuwa umefika ...sasa wewe message iwe delivery... au matamshi yazingatiwe...

NONSENSE

MEDIA HUTUMIKA KUKUZA LUGHA, UKIANDIKA 'LAISI' BADALA YA RAIS UNACHANGIA KUHARIBU LUGHA
 
Ni sawa wengine mtasema sio lugha yake lakini mambo mengine ni aibu sana, kwanini watanzania tuko hivi?

Hizi taaluma zimekua zikivamiwa tu na mkuu wa redio/tv anaruhusu tu, sijui hata kama wengine wanapitia vyuo vya utangazaji.

Utakuta siku hizi radio wanajazana watangazaji hata wanne cha zaidi pale ni jokes na kubishana muda unaenda wala topic muhimu hawaizingatii.

Zamani ilikua wazi ili u qualify kuwa mwandishi/mtangazaji basi uwe pia umefanya vizuri kwenye masomo ya lugha, siku hizi kigezo kama hicho ni kama hakizingatiwi.

Siku hizi eti mtu yeyote anatoka alipo kama ni muuza duka au mwanamuziki au comedian eti tayari ana present katika TV ama radio station.

Kuna radio moja ya Fm mtangazaji mdada akisomaga vichwa vya habari magazeti kuna maneno au herufi zinamshinda kabisa! Sasa utajiuliza viongozi wake hawamsikii?

Wengine wanaajiriwa ma dada maalumu kutangaza umbeya tu, hao nao kingereza ni zero tena minus.

Kuna haja wizara husika kupitia tasnia hii, nilichosikia Leo radio moja kubwa watangazaji wakitupiana mpira kumjibu msikilizaji aliyetaka msaada kwao kwa kingereza ni aibu.
Watangazaji wa TBC taifa wengi lugha ni ishu
 
Ila hawa watangazaji wa kibongo wengi huwa nawasikiliza na kusema hivi walipata hata division IV kweli?...Mfano juzi hapa nilikuwa namsikiliza Adamu Mchomvu wa clouds akiwauliza wenzake umuhimu wa shule za advance(yeye alikuwa anaona hakuna umuhimu,yaani wanafunzi watoke tu form four waende kuchukua degree)
 
Kwako wewe ulivyozumbukuku kiingereza ndo taaluma kwenye utangazaji!??,kwani hiyo redio inarusha matangazo kwa lugha ya kiingereza!??.Komboka kifikra thamini lugha yako kiingereza ni sawa na kisukuma au kisafwa zote ni lugha.kwahiyo wale watangazaji wa aljazeera au cnn kwakuwa hawaji kiswahili hawana taaluma??
Well said!
Bado watu wako utumwani
 
Back
Top Bottom