TANZIA: Mbunge wa Gairo, Ahmad Shabibi afiwa na Binti yake

muhamar Gadaf

JF-Expert Member
Jul 5, 2017
1,054
994
Inna lillah wa ina illah rajiun,

Mhe mbunge wa Gairo kafiwa na binti yake mkubwa jana jioni.

Mazishi yatafanyika mchana huu mara baada ya Swalat dhuhur katika makaburi ya Kisutu.

Poleni sana familia ndugu na marafiki kwa msiba wa mpendwa wetu.

Mwenye ezi Mungu atawatia nguvu katika kipindi hiki cha majonzi.

"Kul nafsi dharikatul maut"
 
Back
Top Bottom