Je, hii ndio maana 'halisi' ya ''donor country''?

Je, hii ndio maana 'halisi' ya ''donor country''?

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
11,701
Reaction score
6,936
Sasa imeongezeka maana ya donor country. Mwanzo ilikuwa Tanzania ilitakiwa kuwa a donor country, sasa Tanzania imekuwa a donor country tangu awamu ya kwanza.

Je, ipi ni maana halisi ya a donor country? Au maana yake halisi ndio hii tunayoisikia sasa?

MAANA YAKE NI KUA TUNAKUKA UGALI WA MAHINDI YASIYOKOBOLEWA (DONA) UMEELEWA SASA?.
 
Jana nimemsikia mheshimiwa raisi wetu akisema tulishakuwa "dona kantri" tangu awamu ya kwanza ikabidi nicheke tu. Magufuli ni mwanasiasa mlaghai anayejua kubadilisha maneno ili kukidhi mahitaji yake ya wakati. Anapaswa kupewa tuzo kwa hiki kipaji chake.

Kauli yake ya jana imenikumbusha kuhusu zile mil 50 kila kijiji kwamba wanavijiji watazipata kwa kupitia huduma zitolewazo na serikali. Huyu jamaa ni zaidi ya msanii
 
Jana nimemsikia mheshimiwa raisi wetu akisema tulishakiwa "dona kantri" tangu awamu ya kwanza ikabidi nicheke tu. Magufuli ni mwanasiasa mlaghai anayejua kubadilisha maneno ili kukidhi mahitaji yake ya wakati. Anapaswa kupewa tuzo kwa hiki kipaji chake.

Kauli yake ya jana imenikumbusha kuhusu zile mil 50 kila kijiji kwamba wanavijiji watazipata kwa kupitia huduma zitolewazo na serikali. Huyu jamaa ni zaidi ya msanii
Ndo maana anapatana sana na WCB
 
Back
Top Bottom