pathfinder_tz
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 356
- 377
Ni njaaa
Ushambaaa
Ujingaaaa
Kutokufikiriaa
Tamaaa
Au kujiendekeza... inakuaje mwanamke hata vocha unashindwa kujinunulia!?
Nakuita sehem tuonane hata nauli huna!? Jaman nauli ya mwendo kas tu hata sio ya mkoan..
Af mbona tumejuana juz juz tu inamaana vocha alikua anakupa nan!? Mbona nmekujulia huko mitandaon kutwa kupost picha..
Yan wadau kuna dem nimeomba namba yake tuwe friends tujuane poa.. na ikibid tuwe watu wa kuonana na ku have fun..
Amenidanganya yeye ni mwalimu wa primary sasa cha ajabu hata viela vya vocha hana..au unauli!?
Juz pasaka nimeomba kampan yake tusherekee wote pasaka aje mitaa ya sinza.. akaniambia nauli hana.. nikamtumia buku tano aje.. but cha ajabu hakuja wala nn wala hakusema chochote..
Utuuzima dawa nami sikumuuliza chochote..nika mpuuzia na jana hakunitafuta wala mm pia siku mtafuta..
Sasa muda huu kanichek kwa sms ananiambia et mbona nipo kimya!? Nimuunganishe na vocha ya halotel tuchat whats app!?
Sasa najiuliza nan mwenyeshida ya kuchat whatsapp!? Kuna nn huko whatsapp!? Yan nmesoma text yake mara mbili mbili had nikapata hasira nikaamua nisimjibu tu..
Yaan kashasau kama juz aliomba nauli ya kutoka ilala had sinza.. nikampa tena na yakutolea akapotea sasa leo tena drama..
Eh jaman..
Kuna nini tanzania!?