UZI UNAOHESABU UZINDUZI WOTE WA AWAMU YA TANO

IHOLOMELA

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
1,807
1,672
Habarini Wakuu!

Kwanza kabisa naomba Mods msiufute uzi huu kwani mmekuwa waonevu sana kila nnapoanzisha uzi mnautokomeza 'kusikojulikana'.

Wakati wa Awamu ya Nne kama mtakumbuka walio wengi humu kulikuwa na Uzi ukihesabu safari za mkwere Ughaibuni jambo ambalo liliweka kumbukumbu nzuri juu ya safari zake.

Kutokana na wimbi la 'Uzinduzi' wa viwanda na miradi mbalimbali, nimefikiria kwa niya njema tu kuwepo na Uzi unaotaja kila tukio la Uzinduzi ndani ya Awamu hii ya Tano kwa kumbukumbu za baadaye.

Nawasilisha kwenu wakuu!
 
Mbona haija orodhesha uzinduzi wa yanayo jiri....
Ama unasubiri uwekewe.....
 
Nakumbuka awamu ya nne Dr Ghalib Bilal walikua wanamuita mzee wa mikasi kwa sababu ya kuzindua
 
Back
Top Bottom