Wakati tunasubiri ndege na kusema maendeleo ya nakuja, vituo vya afya hali ziko ivi.

tryvenak

JF-Expert Member
Dec 13, 2017
248
297
Hapo ndo wachumi wanasema scale of preference.
_20180402_163354.JPG
 
Mbele kwa mbele,subiri ng'ombe anenepe akianza kutoa maziwa tutakunywa sote
 
Kupanga ni kuchagua mkuu! Awamu hii imewekeza kwenye ndege. Hao wananchi maskini watakumbukwa 2020 kipindi cha campaign
 
Hao wagonjwa watapona tu,tunawapakia kwenye bombadia yetu wakielea angani kwa dakika mbili tu wamepona tunawashusha tunapakia wengine tena.Hiyo ndiyo tanzania ninayoijenga
 
Maneno ya mfa maji haachi kutapatapa.Kupanga ni kuchagua.Miradi mikubwa inayofanywa na awamu ya tano ni muhimu sana kwa maendeleo ya nchi hii kwa miaka mingi ijayo.

Ng'ombe hanenepi siku ya mnada.
 
Maneno ya mfa maji haachi kutapatapa.Kupanga ni kuchagua.Miradi mikubwa inayofanywa na awamu ya tano ni muhimu sana kwa maendeleo ya nchi hii kwa miaka mingi ijayo.

Ng'ombe hanenepi siku ya mnada.
Duh, pole sana, na wewe kwenye familia yenu huwa unatoa ushauri??
 
Kupanga ni kuchagua mkuu! Awamu hii imewekeza kwenye ndege. Hao wananchi maskini watakumbukwa 2020 kipindi cha campaign
Ni jambo jema ila wasiwasi wangu ni kufika huko wakiwa hawazi tena kusimama ktk safu ya wapiga kura
 
Back
Top Bottom