Tz tumeanza kukataa pema..

Tz tumeanza kukataa pema..

Mtemikwila

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
1,389
Reaction score
1,066
Sasa tumefikia pazuri ktk ile issue ya mkataa pema pabaya panamuita, Hivi sasa maaskofu wanaongoza jahazi la mkataa pema.
Mimi yangu macho endeleeni kukataa pema.
 
Wachaga wako nyuma ya hili. Na nawaambieni hakika, wakiendelea na hujuma zao hizi hatutawastahi kamwe. Hatuko tayari kukwamishwa na kibaka na mijizi yoyote ile, it is either to join us or face it!
 
Back
Top Bottom