Kifuu cha moto
Senior Member
- Dec 16, 2016
- 132
- 101
Wandugu naamini humu ndani kuna wajuzi wa kila aina. Nimekuwa impressed sana na maswala ya 3d animation baada ya kufowadiwa kazi moja iliyofanywa na watanzania au kampuni ya watanzania..ningependa kujifunza kutengeneza hizi cartoon..nimeangalia humu ndani kuna watu pia wanafanya hizi vitu eg goodone . Nimefanya utafiti wa awali nikagundua kuwa tengeneza hizi vitu huitaji ujuzi wa mahesabu (nina allergy na vitu vyenye mahesabu). Kama kuna mtu anaweza kunifundisha in person naomba tuwasiliane pls.