Baba katutambulisha mwanaye wa nje ,Dogo akiwa tayari form five. Mama akawa mpole tu, amekubaliana na hali na anampenda.
Kila Mara kutukumbusha msimsahau mdogo wenu, si mnajua bado yupo chuo.
Dah ! Ila tunapoelekea influence na strength ya wanaume katika kufanya maamuzi , kupambana na maisha na hata kutimiza majukumu ya kifamilia hasa malezi na mahitaji imepungua sana aisee ...................Nahisi Kuna Biological evolution inaendelea kutokana na hali ya ugumu wa kimaisha yani unakuta mwanamke anawatoto kama sita halafu anauza mchicha na matembele kwa kutembeza na anawasomesha na kukidhi mahitaji yao bila msaada wa mume wake kuna wadada na wanawake wamekomaa aisee ukimcheki kwenye mikono na miguu ni vigimbi kama mcheza mieleka..............Upande wa pili unakuta dume zima miaka 35 toto la mama linaendesha ndinga za mshua na linakula msosi wa maza..............
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.