Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,621
- 8,411
Ndugu wanaJF,
Huyu ni Kuku mwenye gharama kubwa zaidi Duniani. Basi unaambiwa kama ukihitaji Jogoo mmojawapo aliyekomaa ili umfuge basi itabidi uwe na Dola za Kimarekani $2000 sawa na Tsh Milioni 4,375,300.00 za hapa kwetu Tanzania.
Bei iko juu kwa kiasi hicho kwa kuwa Kuku hawa wapo wachache mno.
Ndugu wanaJF wenzangu Kuku hawa wanafahamika kama ‘Ayam Cemani’ chimbuko lao ni kule Indonesia, unaambiwa kila kitu kwenye Mwili wao ni cheusi, kuanzia ngozi, maini, utumbo, macho, moyo, ubongo, kiini cha yai lake, nyama yenyewe mpaka kinyesi chao…
Karibuni sana............