MAJERUHI WA AJALI YA BUS CITY BOY

MAJERUHI WA AJALI YA BUS CITY BOY

papaayenga

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
764
Reaction score
504
Kijana CLINTON BALOZI alipata ajali ktk busi la city boy inasadikika alitokea Kanyanga kwenda Kyerwa, yupo hospitali Bugando Mwanza ndugu zake hawajapata habari
Kwa yeyote anaye mfahamu kija huyu asaidie nduguze kupata habar
IMG-20180407-WA0010.jpg
 
kama ameshajitambua mwambiien awape namba za ndugu zake mumpigie sm
 
Mungu wa rehema akuponye ndg Clinton. pole sana
 
Pole sana bro.

Siku hizi nitaacha kusafiri bila kutoa taarifa kwa ndugu na jamaa.
 
Back
Top Bottom