Hii ni hatari, nimepata kuzuru club mbalimbali hapa mjini Moshi na Arusha, ila hivi karibuni toka mwaka jana mwishoni wamiliki wa club ya Black Diamond iliyopo Moshi mjini wamekuwa wanafanya...
HONGERA RAIS MAGUFULI KWA KUONESHA UKOMAVU MBELE YA MAASKOFU
Jumapili Aprili 08, 2018
Naandika ujumbe huu kumpongeza Rais wangu Mhe. John Pombe Magufuli kwa kushiriki tukio la kusimikwa kwa...
Msaada kwa wanaofahamu na wale waliokwisha kwenda. Ni taratibu zipi unapaswa kuzifuata unapotaka kwenda Vatcan City (Rome - Italy) kufanya utalii. Tukianzia hapa nyumbani, kuna agents wanaosaidia...
Tunapoendelea kuomboleza na kusikitika na madhila ya ajali ile, kwa upande mwingine napo maaajabu ya Mussa na ajali ya Igunga yanaendelea.
Walitokea kina Mwigulu Nchemba kutaka sheria zikiukwe...
Nimekaa nikiwaza sana jinsi hali ilivyo nchini
Kwani pindi nasona shule ya msingi zamani kidogo hapo awali kabla ya Matokeo makubwa na baada ya Matokeo makubwa na hata baada ya kupotea kwa...
Haya ni majiano kati RPC mkoa wa Dodoma na Mtuhumiwa:
RPC : "Haya umeandika hapa I love you inakusaidia nini!
Mtuhumiwa: Ni sanaa
RPC: Ngoja kwanza ni sanaa ya nini, kuna sanaa inayosema I love...
Watu wasiojulikana wanazidi kuua ndugu zetu. Wanawake 4 wamekutwa wameuawa kikatili ikiwemo kwa kunyongwa na kuharibiwa vibaya wilayani Nyang'wale.
Matukio hayo yametokea usiku mmoja kwa...
Amani ya Mungu iwe kwenu wakuu,
Naombeni kuuliza, hivi ni haki kampuni ya simu kutangaza biashara kwenye simu niliyonunua kwa hela yangu, sim kadi nimenunua(hawakunipa bure),na nikitaka kutumia...
Imebidi niulize ili nipate kufahamu kama Misikiti au Makanisa yanabanwa na sheria yoyote ya nchi ama ya kidini kwamba ni lazima kuwakaribisha viongozi wa kiserikali kama Rais , Waziri Mkuu ama...
Hizi takwimu zimenichanganya kwa kweli.
Embu wana JF, naomba tusaidiane majibu.
Kwa muujibu wa mtandao wa similarweb.com inaonekana watembelea mtandao maarufu wa kuuza magari wa Befoward (from...
wakuu.
zebra bar ni miongoni mwa bar kongwe maeneo ya mtoni kwa azizi ally/dossa azizi.
bar ni ya zamani sana lakini imebaki na uzamani tu.haibadiliki. huduma duni na za kizamani sana. mpaka leo...
Habari zilizothibitishwa na Jeshi la Polisi Mbeya ni kuwa watu 2 wamefariki dunia na 22 kujeruhiwa baada ya gari aina ya costa kugongana na lori huko Mlima Nyoka.
Sijawahi kuona watu wanaojifanya wanamjua sana Mungu kama Wabongo, hadi wanampangia cha kufanya, hivi ni kwa nini? Hivi Mungu yuko kwa ajili yenu tu? Au ndo ulimbukeni kwa maana Mungu mwenyewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.