Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,786
Hili swali kwangu limekosa majibu, watu wa nchi yetu waishio mipakani wamekuwa wakisumbuliwa na vyombo vyetu vya Usalama khs uhalali wa Uraia wao na hata sisi wenyewe kama jamii tumekuwa tukiwazushia watu waishio mipakani kwamba siyo Watanzania lkn sijawahi kusikia mtu wa KLM akihojiwa kuhusu uraia wake ingawaje wanaishi mpakani na Kenya!
Lkn wengine wote kuanzia Mkapa tulisema anatokea Msumbiji, wale Nyasa tunawaita Wamalawi, Kigoma kama Zito Kabwe tunasema ni Wakongo/Burundi, Mara kama J.Heche tunawaita Wakenya, Kagera tunawaita Wanyarwanda kama Ulimwengu lkn sijawahi kusikia Mrombo kama Mrema Mbatia kuitwa Mkenya ingawaje wanaishi mpakani kabisa au Wapare ambao wako mpakani na ndugu zao Kenya wanaitwa Wataita kama vile Wajaluo wa Mara lkn sijawahi kusikia Mpare akiitwa Mkenya lkn Mjaluo Heche mara nyingi anaitwa Mkenya sasa kwa nini watu KLM uraia wao hauna shida?